Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Kuna ishu ya cheti,maelezo ya gwajima yapitiwe.
 
Keagan Paul wameanza kukusagia kunguni huku mdogo wangu.
Katika hili hauponi, kwanza mama anatakiwa asikuonee huruma kwa vile ulitambiria/kumpendekeza kuwa makam wa rais kipindi cha bunge la katiba, anatakiwa ajue sasa hivi umebadilika sana, unatumia ID zako fake humu Jf kumpondea na kuanzisha mada za chuki dhidi yake ukisahau kuwa ulokuwa unamtegemea ashaenda kuzimu
 
Tunakuomba popote Roma zimbabwe funguka tujue kila kilichotokea mikononi mwa makonda pamoja upo unyamwezini bado una wasiwasi na maisha yako, funguka ndio mda wenyewe huu, ndugu yetu Ney wa mitego wewe nakuaminia utafunguka picha zima tu, Soud brown ongea tujue kilichokutokea, Mo funguka tulikupigia sana kelele, ulipoachiwa tu ukatupotezea eti tajiri anuniwi, sawa ila funguka angalau tumjue makonda alivyowaumiza.
 
Kamanda ulimpa kalio akashindwa?
Mbona iko wazi, wale watoto wake ilibidi aende China wakamkamue lakini napo mbegu zake zikashindwa ku fertilize. Ndipo mkewe akawekewa mbegu za sperm bank. Hizo unanunua tu
 
We fala acha ushambenga
 
 
Sio mlisema wamepotezwa na mwendazake hawa kwaiyo mwendazake hakuusika.
Makonda kwa Magufuli alikuwa sawa na Maliyamungu kwa Iddi Amini. Kama huelewi kazi ya Maliyamungu uliza
 
Angekuwa madarakani ingekuwa rahisi saaana,,ila ngoja tuanze tuone
 
Huyu nunda hatumuachi lazima tu iko siku wala asijidangnye kwa vile vipicha na vi clips alivyo piga na mama SSH akiwa Spika wa Bunge Maaalum. Havitamsaidia
 
N Nasubiri kwa hamu litakapotokea Hilo ingawa siamini Kama litatokea...huyo dogo anaweza kuwa na ushahidi dhidi ya wabaya wake...ushahidi Kama majina makubwa ya wauza unga, majangili, na Siri nyingine..
 
Makonda tuwe na huruma naye maana huku njee tu anaonekana anamvuto akiingia kule ndani si watamvalisha mashela kabisa..
 
Wakati wananchi na wafuatiliaji wa mambo wakianza kujengewa imani ya kuwa Taifa letu linarudi kwenye utawala bora lakini pia tukielekea kwenye utawala wa sheria na Uwajibikaji kwa viongozi wetu mfano ni kufikishwa Mahakamani kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai , Ndugu Lengai Ole Sabaya.



Katika kumbukumbu zetu wakati taifa la Marekani wakimpiga marufuku RC Paul Makonda kuingia nchini kwao kwa tuhuma mbalimbali walisema sababu kubwa ilikuwa wana taarifa na ushahidi wa uhakika kutoka vyanzo vyao kuwa kuna mambo ya kihalifu dhidi ya binadamu aliyokuwa akiyatenda. kwa kutumia nafasi yake ya ukuu wa mkoa.

Tunavyojua sisi kuwa vyanzo vyao ni CIA ikishirikiana na taasisi zingine kama MOSAD, MI6 na taasisi zao zingine kama NSA,FBI, n.k. Sasa Taarifa hizi na Ushahidi(INTEL) dhidi ya Makonda wanazo hawa ndugu zetu na tunadhani wako tayari kuzitoa kwa hatua zaidi. Ni wakati sasa wa vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama kuwasiliana na wenzetu wa USA na kupata hizi taarifa na ushahidi wao na kuzichunguza ili kuthibitisha au kumsafisha.

Yeye mwenyewe alijitetea na kusema sababu ni kupambana na ushoga lakini ikumbukwe Musevene alifosi kutunga sheria dhidi ya mashoga, Bingu wa Mutharika alishawishi mashoga wakafungwa jela,Waziri Mkuu wa Cambodia, Hun Sen aliwahi kuchochea raia kuua mashoga lakini wote hawa hawakuzuiwa kwenda USA, hivyo tusiwapuuze MABEBERU hili, tusiwadharau CIA kiasi hiki kwani lisemwalo lipo.
"Wizara ina taarifa za uhakika kuwa Makonda amehusika katika uvunjifu huo wa haki kupitia nafasi yake kama mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Katika nafasi yake hiyo, pia amelaumiwa kwa kukandamiza upinzani wa kisiasa, kukandamiza haki ya kujieleza, na kushambulia makundi yasiyo na sauti," imeeleza sehemu ya taarifa hiyo ya wizara.

Pia Bwana Pompeo alisema ,"Leo tumetangaza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda kuwa hataruhusiwa kuingia Marekani kwa kushiriki kwake katika ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu. Tuna wasiwasi mkubwa juu ya kuporomoka kwa heshima ya haki za binadamu na utawala wa sheria nchini Tanzania," ameeleza aliyekuwa Secretary of state Ndugu Pompeo katika ujumbe wake huo.

Matamko ya jumuiya ya kimataifa kuhusu uhalifu dhidi ya binadamu yalikuwa mengi sana, ni wakati wa kujisafisha sasa na kujenga mahusiano na jumuiya hii, mfano haya hapa chini:





Unaweza weka na mengine mdau tujikumbushe malalamiko kadhaa ya hawa wateule awamu iliyopita
 
KUna kila dalili kwamba kinachofanyika ni ushabiki wa kikabila. Zomea zomea ya Sabaya inafanyika kikabila. Eti wachaga wooote walizulumiwa, na leo wanafurahia sana! Nimeona video clip za wachaga wanafurahia. Ingawa nasikia 'ujambazi' wake ulikuwa unafanyika hata Arusha, Sijaona watu wa Arusha wakiruka ruka kama ndugu zetu wa kichaga.

Ukabila hautawavusha kabila hili. Tulieni tusikie makosa, tusikie na adhabu itakayotolewa na pia tutajifunza jambo! Sasa kila mchaga akifurahia, munaturudisha kule kule tulikowastukia. Kweli munategemea Mbowe achaguliwe kuwa rais na atawale makabila mengine kwa mtindo huu?
 
Huyu kama hakuna double standards haponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…