Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Naunga mkono hoja hii!
 
Hawahangaiki naye tena! Stop aliyopigwa ina majibu yote
 
Kabisa Makonda naye akamatwe kwa ushenzi aliofanya wakati wa udikteta.
 
Muda huu nne kasoro usiku Sabaya Kuna mtu anachomoa kitu amesha....
 
Niwapongeze watanzania mmeonesha mfano mzuri katika hili sakata la huyu jamaa. Izo tuhuma ni za ujambazi, duh 🙁
 
Mch Gwajima anayo mengi kuhusu profile yake!
 
Bahati mbaya haohao clouds ndio walitumia nguvu kubwa kumsafisha Sabaya so hawaaminiki kama credible witness plus zile pesa walizopiga ambazo CAG alizitaja.
 
Makonda hakubaka wanawake. Nadhani hiyo ndo pona yake. Makosa yote mengine wanafanana. Nadhani hilo la ubakaji limemuuma sana Rais akaona amzengue.
 
Suala la Makonda ni muda tu. Kinachoweza kumuokoa ni kifo, yaani augue afariki kama Mwendazake. Kwenye uhai lazima atakuja fikishwa Mahakamani kujibu shutuma zake
 
Hata Masoud Kipanya aliwahi kutekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…