Acha uongo. Msikilize Mama hapa chini
View attachment 1809459
Uko sahihi kabisaLeo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Mbona nasikia bashite alikuwa na uhusiano wa kipekee na mammy?Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Hayo mazombii ya Lumumba yanadanganyika kibwege sana. Utadhani yana ubongo wa kuku!Kauli hii haimpi Makonda kinga.
Mambo ya kusameheana ndio yametufikisha hapa. Ifike muda watu walipe mabaya waliyofanya iwe fundisho.Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)
Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.
Visasi havijawai kuleta amani na umoja.
Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
Uvamizi wa Clouds tu unatosha kumweka kizimbani. Naomba ifanyike hivyo ili liwe funzo kwa viongozi wanaolewa madaraka.... kama kuna binadamu ameishi kisanii na kwa kujipendekeza duniani na "ikamlipa" tangu akiwa mtoto mdogo basi ni Makonda. Kwa usanii nimemvulia kofia japo kwenye "makaratasi yake" hamna kitu!
Veronica France ni Abdoulquarim Malisa mfuatilie mandishi yake utajuaLeo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia[emoji1541][emoji1541][emoji1541]Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Kama unajua kuwa Veronica France ni kundi la akina Makonda basi bila shaka unajua kuwa kigogo2014 ni kundi la akina Makamba junior,Nnauye junior ,Kikwete junior .Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Kikombe Cha machungu ni kimoja tu haijalishi kitajazwa machungu ganiNi Mtanzania kumbuka, ni kama ilivyo kwako, Kwa nini unadhani asifanye hivyo!!
Msamaha, msamahaTungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)
Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.
Visasi havijawai kuleta amani na umoja.
Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
Usanii una gharama hasa pale unapovunja haki... kama kuna binadamu ameishi kisanii na kwa kujipendekeza duniani na "ikamlipa" tangu akiwa mtoto mdogo basi ni Makonda. Kwa usanii nimemvulia kofia japo kwenye "makaratasi yake" hamna kitu!
Sawa Ila ni mharifu yuleNi Mtanzania kumbuka, ni kama ilivyo kwako, Kwa nini unadhani asifanye hivyo!!
Kwa hiyo Sabaya aachwe aendelee kuwapiga watu misumari kwenye ugoko, kupora fedha za wafanyabiashara, kuua na kuchukua mademu kwa nguvu?Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)
Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.
Visasi havijawai kuleta amani na umoja.
Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
Pimbi kweli wewe... Bahati nzuri huraambulia hata uteuzi wa mtendaji wa Kijiji kwenye serikali hii ya mama.Mbowe: Hatukuwa na wagombea sahihi
Kuanza sasa wanachama wa Chadema watakuwa wakivaa sare za chama hicho kila Jumamosi ikiwa ni mkakati wa kuongeza motisha kwa makada wake wote.www.mwananchi.co.tz
Chadema ilishindwa kwa sababu waliweka wagombea dhaifu
Anafikiri hii ni awamu ya mwendazake ambapo ukipuliza propaganda dhibi ya CDM unaambulia uteuzi kama akina 7baya..Uhusiano Uko wapi? Leo bukusaba hupati....
Kakosea sana bora angekaa kimya kuliko kujitokeza kutafuta kiki......