Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.

Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.

Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.

Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.

Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.

Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Uko sahihi kabisa
 
Mbona nasikia bashite alikuwa na uhusiano wa kipekee na mammy?
 
Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)

Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.

Visasi havijawai kuleta amani na umoja.

Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
Mambo ya kusameheana ndio yametufikisha hapa. Ifike muda watu walipe mabaya waliyofanya iwe fundisho.

Hata hiyo Katiba hata iwe nzuri namna gani Kama kiongozi hataamua kuifuata ni kazi bure.
 
... kama kuna binadamu ameishi kisanii na kwa kujipendekeza duniani na "ikamlipa" tangu akiwa mtoto mdogo basi ni Makonda. Kwa usanii nimemvulia kofia japo kwenye "makaratasi yake" hamna kitu!
Uvamizi wa Clouds tu unatosha kumweka kizimbani. Naomba ifanyike hivyo ili liwe funzo kwa viongozi wanaolewa madaraka.
 
Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.

Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.

Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.

Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.

Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.

Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Veronica France ni Abdoulquarim Malisa mfuatilie mandishi yake utajua
 
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Limeshaanza kudhibitiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.

Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.

Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.

Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.

Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.

Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Kama unajua kuwa Veronica France ni kundi la akina Makonda basi bila shaka unajua kuwa kigogo2014 ni kundi la akina Makamba junior,Nnauye junior ,Kikwete junior .
Waarabu wa Pemba hujuana kwa viremba.
 
Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)

Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.

Visasi havijawai kuleta amani na umoja.

Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
Msamaha, msamaha
Basi tuvunje mahakama magereza na polisi
Asiwepo wa kuadhibiwa.

Biblia inasema kila kosa lilipata ujira wake.
Ujira ni malipo ya mtu kwa kazi aliyofanya.
Mnasemaje visasi?
 
... kama kuna binadamu ameishi kisanii na kwa kujipendekeza duniani na "ikamlipa" tangu akiwa mtoto mdogo basi ni Makonda. Kwa usanii nimemvulia kofia japo kwenye "makaratasi yake" hamna kitu!
Usanii una gharama hasa pale unapovunja haki
 
Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)

Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.

Visasi havijawai kuleta amani na umoja.

Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
Kwa hiyo Sabaya aachwe aendelee kuwapiga watu misumari kwenye ugoko, kupora fedha za wafanyabiashara, kuua na kuchukua mademu kwa nguvu?
 
Chadema ilishindwa kwa sababu waliweka wagombea dhaifu
Pimbi kweli wewe... Bahati nzuri huraambulia hata uteuzi wa mtendaji wa Kijiji kwenye serikali hii ya mama.
 
tunaendelea kula raha za dunia teuzi za nn ss
 
Back
Top Bottom