Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Maisha yanaenda kasi Sana

Imagine Sabaya Leo anashikiwa bunduki na virungu vya ugoko aoge Kwa lazima Wakati miezi miwili iliyopita alikuwa anakwenda kujiogelesha kwenye hotel za kitalii na halipi na hakuna wa kumhoji.

Nyie mnaopiga kelele mitandaoni amewanunuamnazidi kumalizia zile chenji alizonazo, soon atakosa hela ya wakili.

Na akirudi mahakamani keshokutwa mashtaka yanaongezeka.
 
Ni ujinga kuiongoza siasa na itikadi katika masuala ya kisheria na haki za msingi za binadamu! Unataka kuikata mtama mahakama kwa kuingiza itikadi ili iweje!

Nikuambie usilolijua juu ya madame President kuwa siyo mtu wa kushawishika kirahisi na Mara nyingi swala la kisiasa huliamua kisiasa na like la kitaalamu huliamua kitaalamu. Usijedhani hakimu au jaji anayesikiliza kesi hii atavutwa upande wa itikadi ili apongezwe! Atailinda kazi yake na kuamu kwa haki bila kujali itikadi!

CCM mataga mnachelewa wapi? Acheni masalia ya mwendamahoka yasafishwe nchi ipone!
 
Kama una uhakika Sabaya ameenda gerezani kufanya utalii wa ndani, na kisha arejee nyumbani, huu ujinga wote uliouandika, kusudio lako ni nini?

Ama kweli kuwa mwendawazimu ni rahisi kuliko kuwa mwerevu.
 
CCM acheni mizani ya sheria ifanye kazi msitafute huruma eti kwasababu ni mwanaCCM basi sheria imuache.

Mwenye kinga ni Rais pekee.. who is Makonda? Who is Sabaya?

Acha mihemko, acha sheria ifate mkondo
 
Jiwe liliasisi siasa za kikatili na kuvirithisha roho mbaya hivi vipanya buku..
 
Umeongea kwa hisia jali ili Mataga yakusikie.
 
So Chadema ndiyo walimwagiza Rais ,Sabaya akamatwe.

Tatizo ktk maisha wewe huwezi kufeel maumivu waliyoyapata wahanga walioumizwa na Sabaya.

Kwasabab ya ufupi wa akili huwezi kujua kwamba karibu wawekezaji wote walikimbia Hai.

Huwezi kuwaza Kuna watu walikatwa mikono wengine wakagongwa misumari ya ugoko,wake za watu wakalawitiwa,wengine wakajazwa mimba.watu wameporwa kuanzia kwa vinyozi,bar,mahoteli nk

Sabaya alistahili apigwe risasi hadharani.

Sishangai kwako ww maendeleo ni kupambana na chadema.

Ila ww shule ulienda kusomea ujinga,au labda ni sumu unayosaga imeathiri ubongo.Sijawahi Ina mtu mwenye hoja na akili nyepesi km ww.

Kazi njema ya kusaga sumu,Ila majina mengine yanakuumba kufanana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…