Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukatutajia watu aliowaua?Ushindi kwa gharama za kuua au?
Angemuua Baba au Mama yako ili CCM ishinde
Laja. Kaa mkao wa kusubiria!Unaweza ukatutajia watu aliowaua??
Na mbona hatujaona shitaka la mauaji alilosomewa mahakamani?
Tujulishe huyo Delilah na thibitisha uyasemayo na kama hakuna cha kumpata mwana kulitafuta.Delilah kawa aliye sasa sababu ya makonda, hawezi mgusa
Mnaenda tengeneza list au....nyie jamaa na chama chenu mmelaaniwa aiseeLaja. Kaa mkao wa kusubiria!
Hatuwazidi ccm ambao ni copy and paste ya Lucifer! Magu kafariki na haki kurudi tena tafuta sponsor mwingine Ila siyo maadam president hapendi shobo!Mnaenda tengeneza list au....nyie jamaa na chama chenu mmelaaniwa aisee
Kama una uhakika Sabaya ameenda gerezani kufanya utalii wa ndani, na kisha arejee nyumbani, huu ujinga wote uliouandika, kusudio lako ni nini?Kuweka rekodi sawa, Makonda kama ilivyo kwa Sabaya, hana kitu chochote kile cha kujibu kwa yoyote yule hapa Tanzania na duniani.
Swali: Kama ni kweli kwanini basi Ole Sabaya anashikiliwa na polisi?
Jibu: Ni utaratibu tu wa kawaida kwa mtuhumiwa yoyote yule kushikiliwa mahabusu, na suala la muda tu kijana huyu mashtaka yote dhidi yake yatadondoshwa na atarudi kwenye maisha yake ya ufugaji kwenye moja ya vijiji vya kimasai.
Kiufupi hamna kijana yoyote yule kiongozi ambaye aliyefanya kazi nzuri ya uhakika ya maendeleo hapa nchini kupelekea CCM kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa 2020 ikatokea akapendwa na Chadema. Kwenye mkondo huu wapo vijana kama PolePole, Chalamila, Sabaya, Makonda, Gambo nk.
Chadema punguzeni chuki, ikulu huwa watu hawaendi kizembe kiasi hicho.
Umeongea kwa hisia jali ili Mataga yakusikie.Ushindi kwa gharama za kuua au?
Angemuua Baba au Mama yako ili CCM ishinde ungepata akili
Kuna watu wapumbavu sana Yeye yakimkuta ndio anakuja hapa JF kuomba msaada oooh NSSF hawatoi pesa mara Mahakama inaonea
Muda huu umeshiba makande na Tumbaku Unaanza kuropoka ropoka hapa kama Panya aliyebanwa na Paka
Ushindi wa CCM unahusiana vipi na kupora watu pesa
Huko Songea na Tanga si CCM inashinda kila siku tangu uhuru
Mbona hatukusikia kawawa ameteka watu au Nchimbi anatumia silaha kupora Mali
Yeye kilichomtuma kupora Mali na kutembea na mabunduki ni CCM?
Acha kuchafua chama wewe, CCM imejengwa kwa miaka mingi
So Chadema ndiyo walimwagiza Rais ,Sabaya akamatwe.Kuweka rekodi sawa, Makonda kama ilivyo kwa Sabaya, hana kitu chochote kile cha kujibu kwa yoyote yule hapa Tanzania na duniani.