Members, Kwa mujibu wa Gazeti la mwananchi Kamanda wa Takukuru Hamduni anasema watakapomuhitaji Paul Makonda watasema
Hivi kwa mtu smart Unawezaje kuendelea kuwepo Nchini kwa matukio kama ya Makonda
Maisha ya kuishi bila dhamana yatakuharibia familia na wewe mwenyewe, Una muda wa kujipanga na kukimbia, Sasa Unajadiliwa wewe kila kona ya nchi
Mfalme hayupo tena, Nasema ondoka, Ondoka unasagiwa kunguni
Tuhuma nyingi nzito hata kabla ya Ole Sabaya zilielekezwa kwa Paul Makonda na Kikosi kazi chake, Tena huyu alitembea na watu wenye sare kabisa bora ya Ole Sabaya,Makonda alipovamia Clouds media ili awashughulikie Shilawadu ilikuwa ni kama movie ya kivita
Mali alizojipatia Bwana Makonda toka kwa matajiri kwa dhuluma zinajulikana, Ni Kheri akakimbia na kuanza upya maisha, Akikamatwa Mali hatazitumia tena
Mtu smart angeanza kuuza Mali zake za dhuluma taratibu kabla ya kukamatwa
Nina hakika hata akiendelea kubaki tayari amejawa hofu ambayo itamfanya aishi kama digidigi, Huyu alisema hakuna mtu anakula raha Tanzania kama yeye
Unamshauri akimbie lkn humpi solution akimbilie wap ni bora akabaki humu humu akutane na mkono wa sheria huko nje umesahau kwamba yupo kwenye orodha ya magaidi asiyehitajikaMembers, Kwa mujibu wa Gazeti la mwananchi Kamanda wa Takukuru Hamduni anasema watakapomuhitaji Paul Makonda watasema
Hivi kwa mtu smart Unawezaje kuendelea kuwepo Nchini kwa matukio kama ya Makonda
Maisha ya kuishi bila dhamana yatakuharibia familia na wewe mwenyewe, Una muda wa kujipanga na kukimbia, Sasa Unajadiliwa wewe kila kona ya nchi
Mfalme hayupo tena, Nasema ondoka, Ondoka unasagiwa kunguni
Tuhuma nyingi nzito hata kabla ya Ole Sabaya zilielekezwa kwa Paul Makonda na Kikosi kazi chake, Tena huyu alitembea na watu wenye sare kabisa bora ya Ole Sabaya,Makonda alipovamia Clouds media ili awashughulikie Shilawadu ilikuwa ni kama movie ya kivita
Mali alizojipatia Bwana Makonda toka kwa matajiri kwa dhuluma zinajulikana, Ni Kheri akakimbia na kuanza upya maisha, Akikamatwa Mali hatazitumia tena
Mtu smart angeanza kuuza Mali zake za dhuluma taratibu kabla ya kukamatwa
Nina hakika hata akiendelea kubaki tayari amejawa hofu ambayo itamfanya aishi kama digidigi, Huyu alisema hakuna mtu anakula raha Tanzania kama yeye
Kama maza anaangalia anaofahamiana nao basi hatakuwa tofauti na mwendazake kny double standard, tumpe muda labda watashughulikiwa.Huyu hawezi kukamatwa maana anafahamiana na maza
Hahaha aende China ni rafiki zakeAtakwenda wapi USA kala ban huko south africa aliowakimbiza wauza unga nio makazi yao.nashauri tu kama kuna sumu ya panya hawe nayo karibu
Wale ni marafiki toka bunge la katibaKama maza anaangalia anaofahamiana nao basi hatakuwa tofauti na mwendazake kny double standard, tumpe muda labda watashughulikiwa.
Yap wanafahamiana vizuri snMakonda alimpigia debe Mama ili awe makamu wa rais ndani ya bunge maalum la katiba. Sidhani kama ni rahisi kwa Rais kwa sasa kuweza kumfanya lolote Makonda.
Labda JK ambaye anao ushawishi awamu hii awe hajamsamehe Makonda kwa suala lile la mtoto wake kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya. Hivyo bado ipo sababu ya kumshughulikia ingawa namuona Rais akiwa na uhusiano mzuri na Makonda.
Inatakiwa wamkamate mapema snLeo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Makonda na Mnyeti kuwa uraini ni kosa kubwa sn"Chunga sana watu wasikuongee vibaya...." ukichukua hiyo kauli inakutosha kujua huyo kipenzi chako yuko kwenye fungu gani... Je mali alizojilimbikizia zinafanana na kipato chake? Je aliyowafanyia NASCO, GBP, Manji nk. Yalifaa? Je alivyovamia Clouds ilikuwa utumishi uliotukuka? Au hao watajwa hawana "watu" nyuma yao ambao wanamuongea vibaya "mungu" wa daslamu?
Umeongea point SanaKama chama changu ' Shabikia ' kina Mwanachama wa ' hovyo hovyo ' kama Wewe ( na yawezekana mkawa mpo wengi tu ) nadhani sasa ni wakati ' Muafaka ' kwa Mimi GENTAMYCINE kwenda Butiama ' Uzanakini ' katika Kaburi la Babu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere nikamuambie naachana rasmi ' Kukishabikia ' chama chake cha CCM na nabaki tu kuwa Mtanzania Huru ( Neutral ) hasa Kiitikadi ya Siasa.
CCM ya Nyerere niliyoijua vyema na iliyonilea pia haikuwahi kuwa na ' Intarahamwe ' kama akina Sabaya, Makonda, Mnyeti bila kumsahau hata na Magufuli Mwenyewe.
Ukiona Mtanzania yoyote ( na hasa akiwa ni mwana CCM ) anamtetea Sabaya na Makonda jua Kichwani mwake kumejaa sana Maji Machafu ya Chooni yenye ' Mseto ' wa Kinyesi cha Uharo na Funza wengi sana.
Kuna Mambo huwa yananikera mno tu.
Basha wako amlipakwa mafuta pale kisongoMIKAKATI yote ya mashahidi wa UONGO imefanyika kwa nguvu na uratibu wa CHADEMA.
Tunajua Cuthbert Swai ametumia nguvu kubwa.
Mwingine tayari kaandika uzi humu akitubu ukweli wa sakata la Sabaya kutumika kisiasa.
Kama CHADEMA mnadiriki kuratibu ujinga ili tu mumkomowe Diamond Platinums kwenye Tuzo za muziki.kisa aliisapoti CCM!
Mnashindwaje kula njama ili kumkomoa aliemuondoa ubunge mwenyekiti makengeza?
That, itself was stupid! Una hakika hiyo ripoti ilipelekwa kwa rais? Acha uzembe! Hicho kijiripoti kilisomwa mbele ya mkutano na hakujua aipeleke wapi maana hakuna aliyemtuma. Watu wenyewe waliokuwa kwenye kamati ni wa mtaani tu!Naona umeanza na matusi, sijapenda ningelikutukana vema but let me spare you by now!
Nape akiwa waziri wa habari na utamaduni hakuunda kamati na katoa mrejesho? The outcome was Jiwe to terminate his service as a minister. Huyajui hayo?
Hata mi nimeona mahali...kitakachomfanya huyu azinguliwe ni wamarekani ni watampush maza mpaka atadakwa tuKuna sehemu nimesema wanasema ameshadakwa Leo anahojiwa. Sina uhakika ni tetesi maana tusubiri taarifa rasmi.
SSH anafahamiana vizuri na waliodhulumiwa na Bashite kuliko anavomfahamu !Huyu hawezi kukamatwa maana anafahamiana na maza