Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

akimbilie wapi sasa, wakati yuko kwenye rada za wale jamaa ni suala la muda tu...akaushe humuhumu tu maana kwa sasa akicross border tu wale jamaa zetu USA watamnasa faster...

Kwa sasa Makonda atulie kimya sana at very low profile...atumie wakati huu kufanya toba ya kweli kwa yale yote aliyoyatenda InshaAllah mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ni mwenye kusamehe atamsamehe aendelee na maisha ya kawaida..
 
Makonda alimpigia debe Mama ili awe makamu wa rais ndani ya bunge maalum la katiba. Sidhani kama ni rahisi kwa Rais kwa sasa kuweza kumfanya lolote Makonda.

Labda JK ambaye anao ushawishi awamu hii awe hajamsamehe Makonda kwa suala lile la mtoto wake kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya. Hivyo bado ipo sababu ya kumshughulikia ingawa namuona Rais akiwa na uhusiano mzuri na Makonda.
 
Members, Kwa mujibu wa Gazeti la mwananchi Kamanda wa Takukuru Hamduni anasema watakapomuhitaji Paul Makonda watasema

Hivi kwa mtu smart Unawezaje kuendelea kuwepo Nchini kwa matukio kama ya Makonda

Maisha ya kuishi bila dhamana yatakuharibia familia na wewe mwenyewe, Una muda wa kujipanga na kukimbia, Sasa Unajadiliwa wewe kila kona ya nchi

Mfalme hayupo tena, Nasema ondoka, Ondoka unasagiwa kunguni

Tuhuma nyingi nzito hata kabla ya Ole Sabaya zilielekezwa kwa Paul Makonda na Kikosi kazi chake, Tena huyu alitembea na watu wenye sare kabisa bora ya Ole Sabaya,Makonda alipovamia Clouds media ili awashughulikie Shilawadu ilikuwa ni kama movie ya kivita

Mali alizojipatia Bwana Makonda toka kwa matajiri kwa dhuluma zinajulikana, Ni Kheri akakimbia na kuanza upya maisha, Akikamatwa Mali hatazitumia tena

Mtu smart angeanza kuuza Mali zake za dhuluma taratibu kabla ya kukamatwa

Nina hakika hata akiendelea kubaki tayari amejawa hofu ambayo itamfanya aishi kama digidigi, Huyu alisema hakuna mtu anakula raha Tanzania kama yeye

Atakwenda wapi USA kala ban huko south africa aliowakimbiza wauza unga nio makazi yao.nashauri tu kama kuna sumu ya panya hawe nayo karibu
 
Unamshauri akimbie lkn humpi solution akimbilie wap ni bora akabaki humu humu akutane na mkono wa sheria huko nje umesahau kwamba yupo kwenye orodha ya magaidi asiyehitajika
 
Huyu hawezi kukamatwa maana anafahamiana na maza
Kama maza anaangalia anaofahamiana nao basi hatakuwa tofauti na mwendazake kny double standard, tumpe muda labda watashughulikiwa.
 
Atakwenda wapi USA kala ban huko south africa aliowakimbiza wauza unga nio makazi yao.nashauri tu kama kuna sumu ya panya hawe nayo karibu
Hahaha aende China ni rafiki zake
 
Makonda alimpigia debe Mama ili awe makamu wa rais ndani ya bunge maalum la katiba. Sidhani kama ni rahisi kwa Rais kwa sasa kuweza kumfanya lolote Makonda.

Labda JK ambaye anao ushawishi awamu hii awe hajamsamehe Makonda kwa suala lile la mtoto wake kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya. Hivyo bado ipo sababu ya kumshughulikia ingawa namuona Rais akiwa na uhusiano mzuri na Makonda.
Yap wanafahamiana vizuri sn
 
Vyombo vya dola kama vina mashaka na Makonda, atakuwa kwenye surveillance ya 24 hrs
 
Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.

Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.

Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.

Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.

Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.

Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Inatakiwa wamkamate mapema sn
 
"Chunga sana watu wasikuongee vibaya...." ukichukua hiyo kauli inakutosha kujua huyo kipenzi chako yuko kwenye fungu gani... Je mali alizojilimbikizia zinafanana na kipato chake? Je aliyowafanyia NASCO, GBP, Manji nk. Yalifaa? Je alivyovamia Clouds ilikuwa utumishi uliotukuka? Au hao watajwa hawana "watu" nyuma yao ambao wanamuongea vibaya "mungu" wa daslamu?
Makonda na Mnyeti kuwa uraini ni kosa kubwa sn
 
Jamaa ana IQ ndogo sana, hata huo uwezo wa kukimbia nchi sidhani kama anao!! Yaani wakimuhitaji watamchota kama maji ya mtoni.
 
Kama chama changu ' Shabikia ' kina Mwanachama wa ' hovyo hovyo ' kama Wewe ( na yawezekana mkawa mpo wengi tu ) nadhani sasa ni wakati ' Muafaka ' kwa Mimi GENTAMYCINE kwenda Butiama ' Uzanakini ' katika Kaburi la Babu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere nikamuambie naachana rasmi ' Kukishabikia ' chama chake cha CCM na nabaki tu kuwa Mtanzania Huru ( Neutral ) hasa Kiitikadi ya Siasa.

CCM ya Nyerere niliyoijua vyema na iliyonilea pia haikuwahi kuwa na ' Intarahamwe ' kama akina Sabaya, Makonda, Mnyeti bila kumsahau hata na Magufuli Mwenyewe.

Ukiona Mtanzania yoyote ( na hasa akiwa ni mwana CCM ) anamtetea Sabaya na Makonda jua Kichwani mwake kumejaa sana Maji Machafu ya Chooni yenye ' Mseto ' wa Kinyesi cha Uharo na Funza wengi sana.

Kuna Mambo huwa yananikera mno tu.
Umeongea point Sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
MIKAKATI yote ya mashahidi wa UONGO imefanyika kwa nguvu na uratibu wa CHADEMA.
Tunajua Cuthbert Swai ametumia nguvu kubwa.

Mwingine tayari kaandika uzi humu akitubu ukweli wa sakata la Sabaya kutumika kisiasa.

Kama CHADEMA mnadiriki kuratibu ujinga ili tu mumkomowe Diamond Platinums kwenye Tuzo za muziki.kisa aliisapoti CCM!

Mnashindwaje kula njama ili kumkomoa aliemuondoa ubunge mwenyekiti makengeza?
Basha wako amlipakwa mafuta pale kisongo
Tafuta mwingine

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naona umeanza na matusi, sijapenda ningelikutukana vema but let me spare you by now!
Nape akiwa waziri wa habari na utamaduni hakuunda kamati na katoa mrejesho? The outcome was Jiwe to terminate his service as a minister. Huyajui hayo?
That, itself was stupid! Una hakika hiyo ripoti ilipelekwa kwa rais? Acha uzembe! Hicho kijiripoti kilisomwa mbele ya mkutano na hakujua aipeleke wapi maana hakuna aliyemtuma. Watu wenyewe waliokuwa kwenye kamati ni wa mtaani tu!

Tatizo munaleta ushabiki kwa uelewa mdogo. Waziri anao uwezo wa kumchunguza mkuu wa mkoa? Nape was stupid at a highest level!
 
Back
Top Bottom