chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Mwisho wao umefika walidhan jiwe atatawala milele, wakae mkao wa kula na ikiwezkana passport yake izuiwe kwanza..
Ni mshirika wakeNawewe ukamatwe mkuu, Unatoa ushauri wa kutoroka mtu mwenye makona mengi ya kuhalifu na kigaidi.
Ungekuwa mhanga ungeyasema hayo? Huyu anetuhumiwa na Marekani kwa kunyima haki ya kuishi.Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)
Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.
Visasi havijawai kuleta amani na umoja.
Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
Hawezi kukimbia tena kwakuwa wako nyuma yake 24/7 ... Na mawasiliano yake yote yako mikononi mwaoMembers, Kwa mujibu wa Gazeti la mwananchi Kamanda wa Takukuru Hamduni anasema watakapomuhitaji Paul Makonda watasema.
Hivi kwa mtu smart Unawezaje kuendelea kuwepo Nchini kwa matukio kama ya Makonda.
Maisha ya kuishi bila dhamana yatakuharibia familia na wewe mwenyewe, Una muda wa kujipanga na kukimbia, Sasa Unajadiliwa wewe kila kona ya nchi.
Mfalme hayupo tena, Nasema ondoka, Ondoka unasagiwa kunguni.
Tuhuma nyingi nzito hata kabla ya Ole Sabaya zilielekezwa kwa Paul Makonda na Kikosi kazi chake, Tena huyu alitembea na watu wenye sare kabisa bora ya Ole Sabaya,Makonda alipovamia Clouds media ili awashughulikie Shilawadu ilikuwa ni kama movie ya kivita.
Mali alizojipatia Bwana Makonda toka kwa matajiri kwa dhuluma zinajulikana, Ni Kheri akakimbia na kuanza upya maisha, Akikamatwa Mali hatazitumia tena.
Mtu smart angeanza kuuza Mali zake za dhuluma taratibu kabla ya kukamatwa.
Nina hakika hata akiendelea kubaki tayari amejawa hofu ambayo itamfanya aishi kama digidigi, Huyu alisema hakuna mtu anakula raha Tanzania kama yeye.
Ni dhaifu kuliko lile bunge ka ndugai pale dodoma?Mbowe: Hatukuwa na wagombea sahihi
Kuanza sasa wanachama wa Chadema watakuwa wakivaa sare za chama hicho kila Jumamosi ikiwa ni mkakati wa kuongeza motisha kwa makada wake wote.www.mwananchi.co.tz
Chadema ilishindwa kwa sababu waliweka wagombea dhaifu
Sasa akimbie aende wapi? Hapo koromije si watamkamata kama kuku wa mdondo tu!Members, Kwa mujibu wa Gazeti la mwananchi Kamanda wa Takukuru Hamduni anasema watakapomuhitaji Paul Makonda watasema.
Hivi kwa mtu smart Unawezaje kuendelea kuwepo Nchini kwa matukio kama ya Makonda...
Kwa hiyo asiende Chatto, na Je, tayari amekwisha tiwa hatiani?Sawa Ila ni mharifu yule
Picha ipo wapi? Au unatuimbia mapambio tu!Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana...
Una ushahidi ukisemacho? Mwache Raisi afanye kazi, ikigundulika makonda anahusika sheria itamshughulikia ipasavyo, mama hataki zulma. Hata JOKATE anahusishwa pia, nae yuko njiani.Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi...
atuonyeshe pia lilipo kaburi la saa 8.Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana...
ameanza kuhiji mapema mno !!Ni jambo jema!
Huyu makonda ni mnafiki na mhuni mkubwa, 'amedhulumu' maisha ya watu, ametesa sana watu, amepora watu fedha zao na kila aina ya uhuni ameufanya huyu mtu. Sheria ichukue mkondo wake na asiachwe hata kdg.Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Makonda alimpigia debe Mama ili awe makamu wa rais ndani ya bunge maalum la katiba. Sidhani kama ni rahisi kwa Rais kwa sasa kuweza kumfanya lolote Makonda.
Labda JK ambaye anao ushawishi awamu hii awe hajamsamehe Makonda kwa suala lile la mtoto wake kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya. Hivyo bado ipo sababu ya kumshughulikia ingawa namuona Rais akiwa na uhusiano mzuri na Makonda.
Sasa mbona mayowe mengi,tulieni majambazi yashughulikiwe. Kama nauona ule msambwanda siku akibong'oa kukaribishwa gerezani Ukonga.Kuweka rekodi sawa, Makonda kama ilivyo kwa Sabaya, hana kitu chochote kile cha kujibu kwa yoyote yule hapa Tanzania na duniani.
Swali: Kama ni kweli kwanini basi Ole Sabaya anashikiliwa na polisi?...
πππππ ππ KUDADEKI maisha haya.Mfalme hayupo tena, Nasema ondoka, Ondoka unasagiwa kunguni.
Yaani huyo jamaa amejua life span yake imefika yaani Malaika wa zamu wameshaanza kimpigia simu tujiandaeni taratibu tu tutaimba zile nyimbo za taraatibu ndio maana anasema 2023 huko mbali hafikiKwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi...