ACHANA NA HUYU JUHA!Kwa hiyo kila mtu akiamka anamuelekeza mama kitu cha kufanya!!???
Si ndio propaganda mlizodesign sasa mnajisahau hadi zinafananaSi ajabu yale magenge ya watu waliofahamika kama wasiojulikana yaliyoendesha utekaji wa watu, mateso na kuumiza na hata kuua watu hasa wapinzani, utekelezaji wa uovu wao ulifanyika chini ya Sabaya na Makonda kwa maelekezo kutoka juu kwa mkuu yule aliyepita.
Uhalisia ni nini?Unaongelea kitu ambacho hukijui,Unaendeshwa na hisia badala ya uhalisia.
Pigania familia,ndg zakoTunasafisha na wauza ngada?
Wewe unamlilia nani?Pigania familia,ndg zako
We unamlilia mtu ambaye
Hana msaada kwako
Ova
Najililia mwenyeweWewe unamlilia nani?
jingalao Brother kweli kabisa unaandika mada kujaribu kuwasafisha hawa mbung'o? Vema ungekaa kimya hata kama nyie wote ni ccmBaada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.
#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.
1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.
2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.
3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)
4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu
5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.
6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.
7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.
8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.
ONGEZEA .....
Mademu wa Sabaya mnahangaika kweli kweli kama vipi kufeni tuBaada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.
#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.
1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.
2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.
3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)
4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu
5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.
6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.
7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.
8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.
ONGEZEA .....
Wewe unanunulia wapi kama yameisha?Na alipotajwa tu Mbowe madawa ya kulevya yakaisha kabisa mtaani.
Hata mitaa ya ufipa maeneo ya manyanya mateja waliisha kabisa
Unapajua Uzinguni City pub?Najililia mwenyewe
Huyo unayemlilia mshamba,anajiona
Mungu mtu uliza watu waliyomuona
Na wanamjua,nyie msishoboke na maneno
Yao wakiwa majukwan na kwenye TV
Ova
Wana mapungufu yao ila sio haki pia kuwasiriba kwa uongo.jingalao Brother kweli kabisa unaandika mada kujaribu kuwasafisha hawa mbung'o? Vema ungekaa kimya hata kama nyie wote ni ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani kathibitisha uongo waliosilibwa nao?Wana mapungufu yao ila sio haki pia kuwasiriba kwa uongo.
Uhalisia ni nini?
Vitani Watu huchaguliana Silaha? Toka!!Aliyenizaa wala hujajibishana naye hapa, huoni kuwa unamwonea bila ya sababu?
Wala yeye hajui kuwa wewe ni kichaa kama ninavyokufahamu mimi.
Sijazizidi Koo zako Mbili kwa huo Ujuha.ACHANA NA HUYU JUHA!
Namtaka Rais Samia amkamate haraka.Wewe uwewahi hata siku moja ku undergo scientific IQ test au unajisemea tu kwa kuwa uliwahi kusikia watu wanazungumzia nasuala ya IQ, kwa taarifa yako mimi ni member wa MENSA najuwa kisayansi IQ yangu ni ya kiwango gani.
Reading between the lines ni wazi IQ yako ni dismal kabisa ndio maana badala ya kujenga hoja unaleta mipasho ya taarabu kama ya Khadja Kopa. Mtu wa barabarani utajuaje confidential file la TISS kuhusu Makonda kujitia ujuaji mwingii. Please revisit your skewed comments ni wazi unakuwa driven vile vile na rabid hatred kuhusu Makonda, kuwa mkweli hapa, je, aliwahi kukutimua kazi au kukudhurumu mali zako?