Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Si ajabu yale magenge ya watu waliofahamika kama wasiojulikana yaliyoendesha utekaji wa watu, mateso na kuumiza na hata kuua watu hasa wapinzani, utekelezaji wa uovu wao ulifanyika chini ya Sabaya na Makonda kwa maelekezo kutoka juu kwa mkuu yule aliyepita.
 
Unaongelea kitu ambacho hukijui,Unaendeshwa na hisia badala ya uhalisia.
 
Si ajabu yale magenge ya watu waliofahamika kama wasiojulikana yaliyoendesha utekaji wa watu, mateso na kuumiza na hata kuua watu hasa wapinzani, utekelezaji wa uovu wao ulifanyika chini ya Sabaya na Makonda kwa maelekezo kutoka juu kwa mkuu yule aliyepita.
Si ndio propaganda mlizodesign sasa mnajisahau hadi zinafanana
 
Wote waliendesha magenge ya uhalifu ya kuteka, kutesa na kupiga watu.
 
We huyo sabaya humjuwi
Endelea kimlilia

Ova
 
Wewe unamlilia nani?
Najililia mwenyewe

Huyo unayemlilia mshamba,anajiona
Mungu mtu uliza watu waliyomuona
Na wanamjua,nyie msishoboke na maneno
Yao wakiwa majukwan na kwenye TV

Ova
 
Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.

#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.

1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.

2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.

3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)

4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu

5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.

6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.

7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.

8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.

ONGEZEA .....
jingalao Brother kweli kabisa unaandika mada kujaribu kuwasafisha hawa mbung'o? Vema ungekaa kimya hata kama nyie wote ni ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.

#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.

1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.

2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.

3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)

4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu

5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.

6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.

7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.

8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.

ONGEZEA .....
Mademu wa Sabaya mnahangaika kweli kweli kama vipi kufeni tu
 
Najililia mwenyewe

Huyo unayemlilia mshamba,anajiona
Mungu mtu uliza watu waliyomuona
Na wanamjua,nyie msishoboke na maneno
Yao wakiwa majukwan na kwenye TV

Ova
Unapajua Uzinguni City pub?
 
Aliyenizaa wala hujajibishana naye hapa, huoni kuwa unamwonea bila ya sababu?

Wala yeye hajui kuwa wewe ni kichaa kama ninavyokufahamu mimi.
Vitani Watu huchaguliana Silaha? Toka!!
 
Wewe uwewahi hata siku moja ku undergo scientific IQ test au unajisemea tu kwa kuwa uliwahi kusikia watu wanazungumzia nasuala ya IQ, kwa taarifa yako mimi ni member wa MENSA najuwa kisayansi IQ yangu ni ya kiwango gani.

Reading between the lines ni wazi IQ yako ni dismal kabisa ndio maana badala ya kujenga hoja unaleta mipasho ya taarabu kama ya Khadja Kopa. Mtu wa barabarani utajuaje confidential file la TISS kuhusu Makonda kujitia ujuaji mwingii. Please revisit your skewed comments ni wazi unakuwa driven vile vile na rabid hatred kuhusu Makonda, kuwa mkweli hapa, je, aliwahi kukutimua kazi au kukudhurumu mali zako?
Namtaka Rais Samia amkamate haraka.
 
Back
Top Bottom