KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Si uende wewe mwenyewe ukafanye hayo unayo muagiza kama unaona amekuchelewesha?Nasisitiza Rais Samia Suluhu Hassan aamuru upesi sana aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) nae akamatwe na achunguzwe kwa Tuhuma zake ambazo ni zaidi ya alizonazo DC Ole Sabaya. Acha Unafiki Hopeless mkubwa Wewe sawa?
Kwa nini uje kulialia humu JF. Sisi hatuwezi kukusaidia na ukichaa wako huo.
Naona kama wewe na Sabaya hamtofautiani kitabia.
Lakini ngoja nikuache na wazo la maana sana kama unaweza kulifanyia kazi na kukuletea manufaa kuliko hili unalolilia hapa.
Wakati huu ni wakati mzuri wa kukusanya taarifa za huyo Bashite bila ya kusumbuliwa na yeyote.
Ukipata taarifa muhimu zinazomhusu yeye, andika bonge la kitabu.
Ninaahidi kukupa msaada wa kukibadili kitabu chako iwe 'movie' itakayokuingizia pato zuri sana katika maisha yako; licha ya kujijengea umaarufu Tanzania nzima na nje ya Tanzania.