Mama D umeshachanjwa?😀😀Pamoja na kusema anaongea kama aliyetumwa toka mbinguni.... Kama kuna aliyemuelewa mbunge wa kawe ameelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama D umeshachanjwa?😀😀Pamoja na kusema anaongea kama aliyetumwa toka mbinguni.... Kama kuna aliyemuelewa mbunge wa kawe ameelewa
Hizi mambo ndizo nimeona kwenye clip ya presida akichomwa kimagumashi, yaani mchomaji abonyezi ile bomba na baadaye anapitisha nyuma nyuma na kuitupa kwenye ndoo ya uchafu huku kaficha.Hachanjwi mtu trust me ona hii videoView attachment 1871261
MaCCM yanapenda “public tension “ kawekewa “maic” na camera, tena live.. muwasho wake si kidogo😄😄Mbona kachanjwa na kuhutubia bila hata kupumzika. Chanjo kweli hii au maji tu
Charge sheet yake ingekuwa kama ile ya Mbowe.Askofu Rashid angekuwa Chadema sasa hivi angekua anahojiwa Central.
Nenda kachanjwe mambo ya Magufuli achna nayo.Marehemu alikuwa siyo muumini wa sayansi (chanjo) .aliwaaminisha watanzania kuwa chanjo imeletwa na wazungu kwaajili ya kuja kutuuwa waafrika (watu weusi) Hii mentality ilienea sana kwa jamii ya watanzania waliokuwa wanamuamini sana marehemu magufuli.
Kazi kubwa ninayoiona mbele ni serikali kubadilisha mawazo ya magufuli kwenye vichwa vya mamilioni ya watanzania walioamini kuwa chanjo hii inaletwa kuja kutuuwa. Nadhani serikali ikifanikiwa kwa hili basi zoezi la chanjo kwa kiasi kikubwa litafanikiwa.
Watu hawataki kusikia chanjo kwa sababu ya tahadhari za yule marehemuKazi kubwa ninayoiona mbele ni serikali kubadilisha mawazo ya magufuli kwenye vichwa vya mamilioni ya watanzania walioamini kuwa chanjo hii inaletwa kuja kutuuwa. Nadhani serikali ikifanikiwa kwa hili basi zoezi la chanjo kwa
Na hili ndio chimbuko la shida yote hii.Watu hawataki kusikia chanjo kwa sababu ya tahadhari za yule marehemu
Musifikiri tunapendwa sana
Nawaona VENANCE MABEYO na SIRRO hawana amani kabisa.
Sio kwamba wanaogopa chanjo ila wanajiuliza ,je watafanyiwa maigizo kama walivyokubaliana au watageukwa wadungwe kitu chenyewe.
Kachanje wewe na familia yako...Achana na Mambo ya shujaa wa Afrika....Kwanza shujaa hajusema hivyo...yet alusema tuwe na tahadhari na chanjo iliyotengenezwa kwa haraka...alichosema kwa uhakika ni kuwa Corona huenda tukaishi nayo kwa miaka mingi Kama ilivyo kwa ukimwi...Marehemu alikuwa siyo muumini wa sayansi ( chanjo) .aliwaaminisha watanzania kuwa chanjo imeletwa na wazungu kwaajili ya kuja kutuuwa waafrika ( watu weusi) .hii mentality ilienea sana kwa jamii ya watanzania waliokuwa wanamuamini sana marehemu magufuli.
Kazi kubwa ninayoiona mbele ni serikali kubadilisha mawazo ya magufuli kwenye vichwa vya mamilioni ya watanzania walioamini kuwa chanjo hii inaletwa kuja kutuuwa. Nadhani serikali ikifanikiwa kwa hili basi zoezi la chanjo kwa kiasi kikubwa litafanikiwa.
Hawa wakampa na backup kubwaMarehemu alikuwa siyo muumini wa sayansi ( chanjo) .aliwaaminisha watanzania kuwa chanjo imeletwa na wazungu kwaajili ya kuja kutuuwa waafrika ( watu weusi) .hii mentality ilienea sana kwa jamii ya watanzania waliokuwa wanamuamini sana marehemu magufuli.
Kazi kubwa ninayoiona mbele ni serikali kubadilisha mawazo ya magufuli kwenye vichwa vya mamilioni ya watanzania walioamini kuwa chanjo hii inaletwa kuja kutuuwa. Nadhani serikali ikifanikiwa kwa hili basi zoezi la chanjo kwa kiasi kikubwa litafanikiwa.
Hiko cheo cha shujaa wa afrika ni nani alimpa?Kachanje wewe na familia yako...Achana na Mambo ya shujaa wa Afrika....Kwanza shujaa hajusema hivyo...yet alusema tuwe na tahadhari na chanjo iliyotengenezwa kwa haraka...alichosema kwa uhakika ni kuwa Corona huenda tukaishi nayo kwa miaka mingi Kama ilivyo kwa ukimwi...
Mmhhhh we jamaaa huogopi kusema ivo.Anaweza akachanjwa maji huyo
Mbona watu walipovyeshwa hamkusema wametumia muda mfupi kufanya utafiti?Zilifanyiwa utafiti hapa nchini na ndo ikatengenezwa NIMR-Caf.
Muumini wa sayansi ndio mtu gani au ndio wale ambao hawaamini hata Mungu bali wanaamini katika sayansi kwa kila kitu? Na mtu asiyeamini sayansi ndio yupi ndio yule ambaye hata hospitali haendi kwa maana haihitaj tiba za kisayansi?Marehemu alikuwa siyo muumini wa sayansi (chanjo) .aliwaaminisha watanzania kuwa chanjo imeletwa na wazungu kwaajili ya kuja kutuuwa waafrika (watu weusi) .hii mentality ilienea sana kwa jamii ya watanzania waliokuwa wanamuamini sana marehemu magufuli.
Mbona wapinga chanjo wapo duniani kote si Tanzania tu kwa maana nyengine hata bila Magufuli bado pia wapinga chanjo wangekuwepo tu.Watu hawataki kusikia chanjo kwa sababu ya tahadhari za yule marehemu
Musifikiri tunapendwa sana