Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

Mama kila siku mbele ya camera
Kuwa kwenye camera siyo tatizo iwapo anaonyesha nini amefanya kwa wananchi na ndo kinachotakiwa, maana matendo yanajiuza ila maneno matupu ni kelele kama za chura au debe tupu likipigwa kwa ngoma.
 
Daraja la kigamboni nalo tunataka liwe bure kama hili.
 
Kwenye matendo mtu hachokwi kinachochokwa ni maneno matupu akizindua vitu vinavyooneka mpaka huko 25 bado ataendelea kung'aa tu kikubwa asiangushwe kwenye vitendo.
 
Waabudu moto watakuja juu.
 
Peleka porojo zako huko. Roho zinawauma tu, wanazi wa sukuma gang.
 
Mtaalam wa mambo ya protocol kutoka hanang na ukerewe akitoa ushauri.
 
Just like that ANATAKA !!!, Sio kushauri / kushauriana au kuwauliza watu wanasemaje ?

Duh yaani we are more of a Monarchy kushinda hata walioko Buckingham Palace
 

Usishangae Mkuu
Hii ni approach ya mijitu inayoishi kwa kusifia wengine na ni common kwa nchi zetu za dunia ya tatu! Huoni hata watu wanavaa majezi yao wakati ziara au kazi fulani ni ya Kitaifa!
 

Mwenye kuifahamu miradi ya kimkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya sita tafadhali.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…