Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

Mbona ile ya CCM inapendeza sana kuliko zote.
 
Huyo bibi wa mashuka kichwani ana bore hata kusikiliza taarabu zake
Hata mama'ke Yesu, Bi Maryam, sijawahi muona akikosa kujitanda "mashuka" kichwani.

Kwa kukujuza tu, ile huitwa mitandio, ni spesho kwa kazi hiyo, siyo nyinyi wakuja mnafungasha kitenge doti nzima kichwani. Mitandio ni ya kujitanda (kujistiri), sio "kufungasha kama mavi-tenge yenu anayojigubika nayo mama'ko kichwani.

Mama'ko vipi, hajifuniki "mashuka" kichwani? Au mpaka akienda mazikoni na kanisani tu?
 
ndiyo tunataka hii Serikali ilinunue hilo deni, yawezekana tu, hizo bil 250 zinatutesa sana - kwanza sasa hivi foleni asubuhi kulipia ni usumbufu mtupu.
Usipende vya dezo
 

ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge. Nikajua atafuta tozo Za daraja la kigamboni anaongea kondoa nembo ya mwenge.​

 
Ila ninachopendea siku za uzinduzi miradi, ni kwamba huwa ni siku za kutoa ahadi na matamko mapya yenye manufaa baadae

Inawezekana kabisa leo akaahidi na kutoa tamko kuwa ujenzi wa daraja la jangwani uanze maandalizi mara moja. Inawezekana kabisa.
Rais Samia Hana huo ujinga wa kufanya Kazi kwa mihemko Ili akufurahishe wewe.

Hayuko Ofisini Ili wewe umpende bali kutimiza wajibu wake kama Rais.
 
Hukuona Yale madarasa ya corona yaliyomtoa supika?
 
WABONGO HAMJUI MNATAKA NINI!

Rais asingelizindua hilo daraja mngeishia pia kulalamika

Kwa style hii acha wazidi kutunyoosha tu

Ova
Achana nao mkuu hao Wana chuki binafsi ndio maana namkubali Samia wala hajali,mtukane,mnune ila yuko focused kwenye masuala anayoyaamini na anawachana ukweli..

Samia hayuko Ofisini kutafutwa kupendwa na hata Hawa wanaojisemesha humu hakuna wanachoweza kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…