Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

Anafurahia kuzindua miradi ya mtangulizi wake, kwanza amepoteza ushawishi kwa 100% maana inajulikana anapokea amri kutoka kwa msoga Gang
Nikajua anapokea amri kutoka kwako na wewe sasa ndio una ushawishi kumbe fala mmja tuu 😬😬
 
Taifa la malalamiko tu

Tumekuwa

Asingezindua wangesema ana hujum mirad ya mtanguliz wake

Ova
 
Taifa la malalamiko tu

Tumekuwa

Asingezindua wangesema ana hujum mirad ya mtanguliz wake

Ova
Wataishia hivyo hivyo,baba analalamika na watoto atawarithisha kulalamika..

Nchi za Kijamaa ni hovyo Sana kwa sababu wamezoea vya bure na huwa wanajifariji kwa vimaneno vya wanyonge Ili kutafuta justification ya kufaidi jasho la mwingine.

This time around huu upuuzi hakuna .
 
Ungeyasema haya kipindi cha fascist jiwe ungeeleweka,lakini sasa hivi ni Wivu tuu...unaokusumbua.
 
Mamako je, anavaa nguo ya ndani akiwa msikitini?
 
Mamako je, anavaa nguo ya ndani akiwa msikitini?
Yanini? Ina faida gani?

Mamako wewe wakuja kaanza lini kulitupa kaniki? Hata hizo nguo za ndani mama'ko anazijuwa kweli? Ikiwa wewe huzijuwi itakuwa yeye?

Vipi, mashuka ya kichani huwa anafunga kitenge? doti ngapi?
 
Anazindua miradi ya Mtangulizi Wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanglizi wake ndio nani? Kama niMagufuli, hata yeye aliuanzisha huo mradi wa daraja kwa kuwa ujemzi tu ulianzia kipindi chake, sio waze lake wala hakuu initiate yeye, hata siku ya kuweka jiwe la msingi, balozi wa Korea alilisema hilo. Humjwi ni nani Master wa Miradi mikubwa yote Tanzania?
 
Ungeyasema haya kipindi cha fascist jiwe ungeeleweka,lakini sasa hivi ni Wivu tuu...unaokusumbua.
Yote niliyoyaandika kipindi Cha fascist unayakumbuka? Kubali kuyasema makosa au mabaya nyakati zote regardless ni kiongozi yupi anatawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…