Bora hata wewe umemtaja, wenzako wanamruka kwenye tashipu nyingi ambazo alipaswa kutajwa hadi kule kwenye tukio.
 
Kodi za masikini zinateketezwa vibaya mno huko Chamwino, Dodoma kwenye hafla ya uzinduzi. Nipo nashuhudia hapa TBC1. Meza zimetaradadi vyupa vya mvinyo na vinywaji kedekede huku midomo ya wahudhuriaji ikiwa bize kuchakata korosho na bites mbalimbali.
Noma sana, wakitoka hapo ni kukimbizana na wauza dagaa kutafuta mapato...
 

UZINDUZI WA IKULU MPYA YA CHAMWINO - DODOMA, TANZANIA

Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ni miongoni mwa Wabunge na Watanzania wanaohudhuria Uzinduzi wa Ikulu Mpya ya Chamwino Dodoma leo tarehe 20 Mei, 2023.

Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa IKULU MPYA YA CHAMWINO DODOMA ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan


#UzinduziIkuluMpyaChamwino
#Tumetekeleza
#TunaImaniNaSamia
#VitendoVinaSauti
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-05-20 at 09.58.24.jpeg
    149.6 KB · Views: 3
Hata Mrisho Mpoto Mnafiki sana nimemsikiliza kwenye hizo kelele zake anazopigaga Kila mara kawasifia Mwinyi Mkapa Na Kikwete sijui kwakuwa aliwaona wamekaa pale... huku Makufuli..kamsifia kidogo sana wakati jiwe alifanya maamuzi magumu mama kawaumbua Maana kamsifia ....Mrisho Mpoto Acha unafiki [emoji3166]
 
MWacheni apumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…