Kama ccm hawakumpenda JPM je ni nani mzuri wa Hawa watu???

Ninahisi utawala wa Yule bhana ulikuwa hauitajiki ndani ya ccm na kuna kila dalili alipotezwa ili kundi jingine liingie!!!

Mimi nilimshanga Sana Magufuli alivyojiamini CCM, kiasi Cha kuona vyama vingine ni maadui.
 
Kwa ikulu ya Dodoma,Chamwino,wakumkumbuka ni Mwalimu Nyerere,alichimba mitaro ya kupeleka maji Chamwino,kwa kushika sururu,na kazi nyingine za ujenzi,aliweka kambi si chini ya miezi mitatu,hapo Chamwino.

Umeongea kweli. Na ndiye mwenye wazo la kupeleka ikulu Dodoma.
 
Ila kipind kile kulikua na maigizo asee 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…