Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

Baada ya Rais Magufuli kufariki, Tanzania tumepoteza mwelekeo tulitegemea mama atakuwa kiongozi ila nimeshangaa nae kawa mwanasiasa anafanya maamuzi kufikiria uchaguzi wa 2025.
Kuhusu ndege kwa Cash amebeba kutoka kwa JPM!
 
Hawa ni wajinga sana, wanashindwa kushauri chama chao huko wapo busy kumshauri Samia ambaye kazungukwa na wabobezi wa kila kona, eti leo hii Samia achukue ushauri wa vilaza kama hawa ambao wenyewe mambo yao yameparagakanya kila kona
Ni Rais Wa watanzania ndio maana kila mtu yupo huru kumshauri!
Kumshauri Rais nayo imekuwa nongwa??Aisee!
 
Huu utawala kuna watu watakunywa sumu ama kujinyonga kwa wivu...
FBbi_41XEAMIbSV
 
Ni Rais Wa watanzania ndio maana kila mtu yupo huru kumshauri!
Kumshauri Rais nayo imekuwa nongwa??Aisee!
Tashauriwa na watu mil 60 wote? huyo atakuwa mtu au AI? Ndiyo maana kuna kuwa na wawakilishi wa watu, sasa kama hao wawakilishi wapo busy mahakamani na kesi za kipuuzipuuzi zinazoepukika then hilo siyo kosa la Samia
 
Baada ya Rais Magufuli kufariki, Tanzania tumepoteza mwelekeo tulitegemea mama atakuwa kiongozi ila nimeshangaa nae kawa mwanasiasa anafanya maamuzi kufikiria uchaguzi wa 2025.
bora huyu anaangalia 2025,Jiwe yeye alikuwa ameweka mikakati ya kutawala milele. Mungu akasema usinichezee
 
Tashauriwa na watu mil 60 wote? huyo atakuwa mtu au AI? Ndiyo maana kuna kuwa na wawakilishi wa watu, sasa kama hao wawakilishi wapo busy mahakamani na kesi za kipuuzipuuzi zinazoepukika then hilo siyo kosa la Samia
Muwakilishi wako kwenye kuishauri serikali moja kwa moja ni mbunge,sasa mbunge gani yuko busy na kesi mahakamani?Au unamaana gani?
Pili,wananchi bado wanayo haki ya kutoa maoni japo sio kila wazo linachukuliwa!Kazi ya hao washauri Wa Rais ni kupitia maoni ya wananchi kupitia vyanzo mbalimbali!
Ni kama suala LA Tozo lilivyokuja,wananchi walilalamika mpaka Mama Samia akasikia na akaagiza kufanyike marekebisho ya tozo!
Hao washauri wake walikuwa wapi wakati huo kujua kwamba tozo zilizokiwa zimepangwa hazikuwa himilivu?
Grow up mkuu,ukiwa kama mwananchi una wajibu wa kueleza mawazo yako regardless yatasikilizwa au la!Ni haki yako na inatambulika kikatiba!
 
Mkuu vp.. Be an optimist.. Look at this admninistrAtion with a bright future ahead..
Mama atatuvusha.
Ni kweli matozo yanaumiza sana.. Saivi mche wa sabuni 3000/= ila tumpe muda. Kunyooka tunanyooka kweli..
Ila bora yeye.. Yule alitunyoosha..akatumaliza kabisaa..
 
Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine?

Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo.

Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi?

Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji na miradi ya barabara na maji ambayo italeta matokeo in long-run.

Project zote za Afya na elimu zilitakiwa kuwa funded na pesa za ndani Kama tuna uwezo wa kukusanya trion 1.8+ tunakwama wapi?

Nilitegemea pesa zote za covid19 zingeelekezwa kwenye Utalii, Kununua mazao yote ya wakulima walioanguka, Kuweka ruzuku kwenye mbolea ili wakulima walime Tena, Kuanzisha project za kilimo Cha umwagiliaji ili kuwa na uhakika wa chakula, Kutafuta masoko ya mazao ya wakulima nje na kufufua viwanda na biashara zilizokufa.

Imagine mfuko wa mbolea 50kg Ni laki moja wakati gunia la mahindi Ni elfu 30 halafu unaenda kulipia cash ndege billion 500.

Mama Samia bado hashauriwi vizuri ama anajishauri vibaya wengi tuliaminishwa Magufuli hashauriki kumbe hata washauri hakuna Kuna watu wa kujikomba kwa watawala tu.
Mshauri wake mkuu si ni kikwete jaman
 
Masharti ya mikopo. Mikopo mingi ya mabeberu wanashauri kupeleka kwenye huduma za jamii zisizorejesha mkopo.
 
Muwakilishi wako kwenye kuishauri serikali moja kwa moja ni mbunge,sasa mbunge gani yuko busy na kesi mahakamani?Au unamaana gani?
Pili,wananchi bado wanayo haki ya kutoa maoni japo sio kila wazo linachukuliwa!Kazi ya hao washauri Wa Rais ni kupitia maoni ya wananchi kupitia vyanzo mbalimbali!
Ni kama suala LA Tozo lilivyokuja,wananchi walilalamika mpaka Mama Samia akasikia na akaagiza kufanyike marekebisho ya tozo!
Hao washauri wake walikuwa wapi wakati huo kujua kwamba tozo zilizokiwa zimepangwa hazikuwa himilivu?
Grow up mkuu,ukiwa kama mwananchi una wajibu wa kueleza mawazo yako regardless yatasikilizwa au la!Ni haki yako na inatambulika kikatiba!
Vyama vya siasa ni washauri wakuu wa serikali, regardless wana wabunge or la, na siku zote chama chenye wafuasi wengi huwa ni kiongozi wa vyama vingine, sasa chama chetu chenye wafuasi wengi ni ujinga ujinga tu, leo wamefanya press and hawajagusia jambo lolote linalowahusu wananchi moja kwa moja, wameongea mambo yao binafsi tu ya hovyo hovyo, mara hatutaki kuonana na msajili tunataka kuonana na Rais tu! Suala la tozo ni la kisiasa na limeshughulikiwa kisiasa, kama lilivyo suala la machinga, mamantilie, bodaboda, bei ya mazao na vitu kama hivyo!! Huyu hapa anatoa ushauri wa kitaalamu wa ndani kabisa bila kuwa na facts zozote!! Umeambiwa ni mkopo usio na riba wenye masharti nafuu, anashindwa kufikiria kwamba miongoni mwa hayo masharti ni kufanya hayo wanayofanya?
 
Matatizo muyaanzishe ninyie ufumbuzi muutarajie kwa Chadema??
 
Nani kasema vyama vya siasa ni washauri wakuu Wa serikali?Hii umeitoa wapi?Kwahiyo vyama vya siasa vikikaa kimya serikali inakosa washauri??
Mshauri namba moja Wa serikali ni Bunge la JMT,na hili lipo hadi kwenye katiba!Ndio maana kwenye kazi za bunge kuna kutunga sheria,kupitisha bajeti na kuikosoa/kuishauri serikali!
Chama cha siasa hakiwajibiki kuishauri serikali,inapotokea wamefanya hivyo basi wamefanya kwa kujisikia!Ila bunge linawajibika kisheria kuishauri serikali!

Pili,unamwambia mleta mada asishauri kwa sababu ulizotaja!Hapo unakosea,kukosoa au kushauri ni haki ya mtu yeyote!Haijalishi kama ushauri wake ni mbovu au mzuri!Ndio maana Rais halazimiki kuchukua ushauri Wa yeyote!
 
Back
Top Bottom