Tanzania haijawahi kupoteza muelekeo hata siku moja. So far, Tanzania ni nchi iliyoko kwenye top ten ya nchi za kiafrika zenye uchumi mkubwa. Na katika top ten nchi nyingi uchumi wake uko backed na mafuta. Ukitoa mafuta, nchi zinazosimamia show zinabaki kuwa ni South Afika, Kenya, Ethiopia na Tanzania. Na kama unavyojua uchumi wa South uko backed na wazungu na pia kama unavyojua uchumi wa Ethiopia uko backed na huge population, nchi zinazobaki kwenye top ten ambazo zinasimama kwa miguu yake ni Tanzania na Kenya ndio zina GDP ya ukweli. Yani, small population with no oil but huge economies.
Tusipende kujidharau. Sisi ni taifa kubwa na lenye nguvu kiuchumi ndio maana hatuyumbi ovyo ovyo. So far, tuko vizuri kuliko nchi nyingi za kiafrika.