Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Alichoandika ni kweli tupu. Miezi michache iliyopita hawa matapeli waliweza kuhack kampuni
moja ya kusafirisha mafuta USA na kusababisha upungufu mkubwa wa petroli hivyo bei kupanda hadi walipolipwa milioni nne na ushee na walitaka walitoa order kwamba walipwe kwa cryptocurrency. Inadaiwa mwaka jana wamepiga 90 millions na zote walitaka order walio we kwa hiyo currency.
lhttps://www.newsweek.com/darkside-hacker-group-russia-colonial-pipeline-1590352
Sio kweli marekani wana makampumy mengi sana kuliko nchi nyingi yoyote ubishi nitayataja hapa


Marekani Japan na baadhi ya nchi nyingine zizozo za wanyonge makampuny yao yanatoa hadi Card kama za bank wa members wao fanya utafiti usipotoshe watu
 
Technology gani hapo unazungumzia ??? Nitajie nchi moja tu ambayo wameikubali hyo Bitcoin kuwa legal tender zaidi ya El Salvador? Kila nchi hawataki hayo mambo ya cypto unadhani ni wajinga mama yenu ndo anakili sana?
Sijui propaganda mkuu endelea upotoshaji sina muda wa kubisha na mtu
 
Even before the attack on Colonial Pipeline, DarkSide’s business was booming. According to the cybersecurity firm Elliptic, which has studied DarkSide’s Bitcoin wallets, the gang has received about $15.5 million in Bitcoin since October 2020, with another $75 million going to affiliates.

The serious profits for such a young criminal gang — DarkSide was established only last August, according to computer security researchers — underscore how the Russian-language cybercriminal underground has mushroomed in recent years. That growth has been abetted by the rise of cryptocurrencies like Bitcoin that have made the need for old-school money mules, who sometimes had to smuggle cash across borders physically, practically obsolete.

In just a couple of years, cybersecurity experts say, ransomware has developed into a tightly organized, highly compartmentalized business. There are certain hackers who break into computer systems and others whose job is to take control of them. There are tech support specialists and experts in money laundering. Many criminal gangs even have official spokespeople who do media relations and outreach.
 
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.

Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
Kuhusu hili nahitaji special starde
 
Alikuwa live TBC1 mkuu akihutubia baada ya kuzindua jengo la BoT tawi la Mwanza. Kaongea mengi likiwamo hili na kutaka riba za mabenki zipungue kutoka (12%- 18%) hadi 10% kushuka chini.

Download mwenyewe hotuba yote ya rais akiwa Mwanza.
Sema alikua Live kwenye vyombo vya habari. Haikua TBC pekee, wewe kama uliangalia TBC, wengine walitumia vyombo vingine navyo vilikua LIVE.
 
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.

Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
Huyu mama bure kabisa hajui kwa nini bot hawawezi kuruhusu. Jinsi wajanja na wasio maadili walivyo kwenye ngazi za juu kuruhusu tutapigwa tu kikubwa. Kuna watu wanamshauri mama vibaya ili kumlengesha kwenye maeneo wanataka kwa faida yao.
 
Yaani mi niwe na cash halisi/ benki halafu kuna jamaa naye anashinda mitandaoni kwa magumashi mara uit wake then heti inatambulika rasmi!!
Tunahitaji elimu zaidi hili tuwe na common understanding kwanza.
Tunahitaji vitu vingi kwanza, hata kuwa na uandishi mzuri ni moja ya mambo tunahitaji.
 
Tatizo lako umeanza kuangalia ziara za mwendakuzimu ndo zimekua SI unit yako. Yule alikua mtu wa masifa ndiyo maana uliona uliyoyaona.
Babaako alikwenda kuzimu kama mbwa aliyegongwa na gari ndio maana hatukumjua.
 
Hivi anaelewa kweli maana ya crpto ama anaisoma mtandaoni ?,UK na USA wameanza kuban hii kitu sababuvya paind n dollor
 
Sema alikua Live kwenye vyombo vya habari. Haikua TBC pekee, wewe kama uliangalia TBC, wengine walitumia vyombo vingine navyo vilikua LIVE.
Sawa mkuu. Kiswahili changu kiliigota ndiyo maana.
 
Nchi za Magharibi haijapigwa marufuku lakini bado Serikali nyingi ziko kimagutu magutu na hii currency kwanza haiko stable inaweza kupanda sana na kushuka sana pia kwa sasa matapeli wa mitandaoni wanaitumia sana hii pesa wakishafanya utapeli wao. Hii currency bado ina safari ndefu kukubalika hivyo tusikurupuke tukaingia kichwa kichwa bila ya kuwa na ufahamu wa kutosha kwenye hii kitu.
Kupanda na Kusha nikawaida hata dolla upanda na kushuka kulingana na demand

Kuhusu utapeli iko hivi kwanfano matepili waweza kuingi kwenye Database ya system ya bank kisha wanatia password yao nakuweka ujumbe kwamba mkitata tuachilie system yenu tuma bilioni moja kwenye Address hii ya btc tuachie system yenu isipungue hata mia

Kisha wanakaa kimya wanajua bank wakipoteza saa moja bila kutoa huduma usumbufu utakua nkubwa sana lazima bank itatuma hicho kiasi cha pesa

Baada ya kutuma vyombo vya ulinzi na usalama waneza ku track na kupata IP address ya mpokeaji kama hatumii VPN

Swalilangu kati ya VPN na sarafu kipi ni kikwakozo kwa mpelelezi?

Wakiweza kuzuia matumizi ya VPN nadhani utakuwa mwisho wa utapeli kwa kutumia sarafu

Bongo mtu anaenda kwa wakala anasajili line kwa alama za vidole anajilipua na kutepeli watu kila siku na pokea msg za tuma kwenye namba hii hawa nao Vipi wanatumia sarafu?
 
Tatizo ni wewe kupokea pesa kwenye account wale PayPal wanatufanya sisi kama wateja wa mataifa mengine kazi yetu sisi ni kulipa watu wa mataifa mengine ila sisi hatuwezi kupokea pesa kutoka kwa kwao
Sawa Mkuu, kwahiyo kumbe ukiwa na PayPal account huwezi pokea pesa ukiwa Bongo si ndio? Yaani account unakuwa nayo ila kwenye kupokea pesa ndio haiwezekani? Naomba unieleweshe zaidi, maana mie nachofahamu ni kuwa, kuna PayPal account na Bank account unayoweza link na PayPal account. Unaweza kuwa na pesa kwenye PayPal account na bado usitake kuzihamisha pesa kwenda kwenye Bank account.
 
Back
Top Bottom