PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu kilaza wa kizimkazi aache kupiga mikwala wakatoliki, na nina support sana awafungie wakatoliki kama alivyomfanyia Gwajima 😂😂
 
Ukweli utabaki ukweli hata kama anayefanya makosa ni mtu wa imani yetu
 
Oyaa watu wanatekwa, kuuliwa na uchaguzi umegeuzwa comedy wanaiba wanavyotaka, wewe kama unapendwa kulala usiku huku ukiogopa serikali kukuteka kwa sababu umemtukana Abdul endelea tuu, TEC wanafanya jambo zuri sana nawaunga mkono
 
Kama ingewezekana naona mkubwa angelifungia kanisa katoliki maana kwa jazba aliotambaa nayo kuhusu TEC.

Ila katiba inampa mamlaka hayo alifungie tuu
 
Usiombe hili litokee waislamu kufa kwao ni kitu cha kawaida haya tuendelee kunywa mtori nyama tutakuta chini
 
Kwa hiyo wakiona kuna utekaji wakae kimnya kwa sababu urais ni taasisi?
TEC kama reputable institution naamini kabisa Milango ya kuaccess taaasisi ya hio ya Juu kabisa Iko wazi muda mwingi,

Izi Kelele zimekuwa nyingi sana wakati huu mpaka inatupa mashaka kuwa Hawa watu wamebanwa au shida ni nini?
 
Oyaa watu wanatekwa, kuuliwa na uchaguzi umegeuzwa comedy wanaiba wanavyotaka, wewe kama unapendwa kulala usiku huku ukiogopa serikali kukuteka kwa sababu umemtukana Abdul endelea tuu, TEC wanafanya jambo zuri sana nawaunga mkono
HAmna noma
 
Ukilikoroga lazima ulinywe.
Haiwezekani utoe order ya kuua zaidi ya watu 10,000 halafu tukunyamazie tu.
Si ndio hapo sasa itakuwa hana akili huyu bibi au ulidhani wao ni panyabuku
 
Huwa anapenda kurudia rudia kusema mimi ndio amiri jesh mkuu
 
TEC hawana mamlaka yoyote na hawajawahi kuwa nayo
TEC wanakosoa na kutoa maoni, uwezo wao unaishia hapo. Hawawezi kuacha kutoa maoni hivyo msiplay victim card
Na safari hii walijaribu kuonyesha kuwa wana mamlaka hiyo eti kwa kutumia vigango vyao na kuwahamasisha vijana wafanye fujo. Na bado wanaishi kwa ndoto za mchana, eti kama kutakuwa na machafuko au vita wakiamini kuwa ile nafasi yao waliyopewa na yule mwanasiasa Saint itarudi tena.

Hakika nawaambia hiyo nafasi hawataipata tena, sana sana watapoteza hata hiki kidogo walichonacho. Mdanganyane tu wemyewe kwa wenyewe.
 
Hilo haliwezekani. Wataendelea kutoa matamko kila watapoona inafaa kufanya hivyo

Mpira upo kwenu kuona nini cha kuwafanya ili wasutoe matamko. Muwafunge jela au muwafungie hayo makanisa. Chaguo ni lenu
Hawakutoa matamko wakati wa mkoloni, eti leo ndio wajifanye majuaji na mapenda haki sanaaaa.
 
TEC hawajawahi kuwa na mamlaka yoyote, ni hofu na uoga wenu tu mnaojazana. TEC wao ni matamko tu hawana Cha ziada, msiwe wanyonge wala msijazane hofu. Sijui kwa nn huwa mnawahofia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…