PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Anaonya viongozi wapi wakati amekumbatia mashehetani anaowatumia kudhoofisha mapinduzi matukufu ya Tanganyika?
 
Ni tamko kali la Rais Samia. Naliunga mkono.
Amani ya Tanzania iligubikwa na Taasisi moja kutawala nchi huku nyingine zote zikiipigia magoti taasisi hiyo.

Tarehe 2 desemba, limetolewa tamko rasmi kuwa LEO NDIO MWISHO WA TAASISI HIYO KUFIKIRI KUWA INAUWEZO HUO. Ni mwanzo wa Tanzania mpya baada ya miaka 60 ya mwendelezo wa fikra/tamaduni za KIKOLONI.

Kwa mazingira yeyote yale, iwe machafuko au namna nyingine yeyote ile, kitu kimoja ni sahihi: AMANI ITAYOPATIKANA BAADA YA HAPO ITAKUWA NI AMANI YA UKWELI SIO YA KINAFIKI.
 
Nimejisajili JF leo 2/12 kwa ajili ya kupendezwa na TAMKO LA RAIS SAMIA. Tamko hili ilibidi lije mwaka 2021, japo limechelewa lakini ujumbe umefika. Hongera Rais Samia. Safari namba 3 ndio kwanza imeanza (Safari namba 1 -ukoloni mpaka uhuru. Namba 2- Nyererelism 1961-2/12/2025, Safari namba 3, 2/12/2025..............na kuendelea.)
 
TEC wahubiri dini,waache nyyege na siasa
 
Usemacho ni ukweli. Kila chawa na shehetani lazima atalipenda na kuliunga mkono ingawa ukweli unabaki pale kuwa iIdi Amin Mama ni jiuaji la kawaida.
 
... and the rabbit hole is deeper this time around!
 
TEC Wanahoja shida yao ni kutaka kujiona na wao Wana mamlaka au Influence, Waheshimu Presidency basi

Urais ni taaasisi wanaenda Makanisani kwasababu nchi ni tulivu
TEC hawana mamlaka yoyote na hawajawahi kuwa nayo
TEC wanakosoa na kutoa maoni, uwezo wao unaishia hapo. Hawawezi kuacha kutoa maoni hivyo msiplay victim card
 
We mwanamke mbona hauzungumzii utekaji, uuaji na zilipo maiti zilizofichwa(zilizofukiwa kwenye mass graves)?
Hapa umetudhihirishia kuwa Amri ya shoot to kill ilitoka kwako na uko tayari kuitoa tena nasi D9 tunaingia barabarani na kamwe hatutaridi nyuma wewe njoo utakavyokuja na kunakuja tena vilevile yaani kama mbwai mbwai tu mpaka utupe miili ya ndugu zetu. Sokiliza bi Urojo, mikwara tumeizoea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…