Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Ndio maana phd za kupewa haziheshimiki. Nonsense
 
Kitabu cha Alfu Lela Ulela...
Wakati huo isingekuwa katiba na utii wa kitabu hicho leo asingwkuwa POURT.

Wakuu hapa tumegongwa nyundo kweli kweli.
 
Kitabu cha Alfu Lela Ulela...
Wakati huo isingekuwa katiba na utii wa kitabu hicho leo asingwkuwa POURT.

Wakuu hapa tumegongwa nyundo kweli kweli.
Kishasema Katiba haina tofauti na 'Tell Freedom Peter Abrahams' au 'No Longer At Ease Chinua Achebe'
 
Waliohudhuria ni vigogo wakubwa sana wa serikali na Chama chake.

Lakini Mada yoote iliishia kwa Chadema ambao kwanza hawakuwemo.

Ni maajabu sana.
 
Nani kachambua dini ya nani? Je kuna evidence ya huo uchambuzi?
 
Dpw ilimuuma sana tuliposema ni ya waarabu wajomba
Kwani dini imetajwa kwenye uchambuzi au ameamua tu kupenyeza chuki, it was simple, people needed to know, mkataba ni wa siku ngapi? Basi mengine yote walijaza wao katika utetezi usio na mashiko
 
Kwani dini imetajwa kwenye uchambuzi au ameamua tu kupenyeza chuki, it was simple, people needed to know, mkataba ni wa siku ngapi? Basi mengine yote walijaza wao katika utetezi usio na mashiko
Yeye aliungana na wachochezi kwa sababu hana cha kuwaambia Watanzania
 
Kwani dini imetajwa kwenye uchambuzi au ameamua tu kupenyeza chuki, it was simple, people needed to know, mkataba ni wa siku ngapi? Basi mengine yote walijaza wao katika utetezi usio na mashiko
Tuanzishe Somo la Katiba kuanzia chekechea mpaka Chuo Kikuu kutakua na mtaala maalumu wa kufundusha somo hilo na mpaka watu waelewe kuhusu Katiba itachukua miaka hata 10 kwa watu waelewe kwanza Katiba ni nini kwa sababu Katiba ni Kitabu tu cha 'Sizitaki Mbichi Hizi Sungura na Fisi' kwa hio baada ya miaka 10 au 15 watu wakishasoma wakaelewa Katiba ni nini ndio tuanze kudaiana Katiba Mpya (in SSH voice)
 
Yeye aliyeapa kuilinda baada ya kuisoma na kuielewa je anaifuata?
 
Mama jana ni heri ange act anaumwa kuliko hotuba ile.
Nchi inauhaba wa dola
Nchi inauhaba wa mafuta.
Nchi ina mgao wa umeme
Nchi ina ishu ya masai ngorongoro.
Nchi ina ishu ya DP WORLD.
Hajaongelea hata kimoja.

Nikachukia nikasinzia!
 
Serikali inakusudia kuwasilisha mswaada wa Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kwenye Bunge lijalo ambapo pamoja na mambo mengine itaunda Tume huru ya Uchaguzi.

My Take
Chadema Kwa Sasa hamtakuwa na visingizio vingine mlishindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…