Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Serikali inakusudia kuwasilisha mswaada wa Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kwenye Bunge lijalo ambapo pamoja na mambo mengine itaunda Tume huru ya Uchaguzi.

My Take
Chadema Kwa Sasa hamtakuwa na visingizio vingine mlishindwa.View attachment 2747412
Bado haitoshi, tunataka na Katiba mpya sasa............

Wala siyo kuanza na kutoa elimu Kwa miaka 3!
 
Serikali inakusudia kuwasilisha mswaada wa Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kwenye Bunge lijalo ambapo pamoja na mambo mengine itaunda Tume huru ya Uchaguzi.

My Take
Chadema Kwa Sasa hamtakuwa na visingizio vingine mlishindwa.View attachment 2747412
Wewe unafikiri nani atafaidika na hiyo tume huru CCM, ACT au CHADEMA think, Chadema is ahead of you all.
 
Serikali inakusudia kuwasilisha mswaada wa Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kwenye Bunge lijalo ambapo pamoja na mambo mengine itaunda Tume huru ya Uchaguzi.

My Take
Chadema Kwa Sasa hamtakuwa na visingizio vingine mlishindwa.View attachment 2747412
Miswaada bila katiba mpya ni kazi bure. Kama mteuzi namba moja bado ni Rais ambaye pia ni mgombea . Ni kazi bure.

Katiba mpya kwanza

Mabadiliko si kwa faida ya Cdm bali nchi.
 
Nadhani ni mwanzo mzuri,kubadili mfumo wa tume ya uchaguzi si jambo dogo.

Wakati mwingine unaweza kuwa na ndoto ya kumiliki V8,ikitokea ukapata Prado shukuru yote ni magari ingawa yana viwango tofauti.
 
Hizo zote ni danganya toto..tunachotaka ni KATIBA MPYA ILIYO BORA!..na haitochukua muda kwa kuwa tayari RASIMU YA JAJI WARIOBA ipo tayari
Rasimu imechakaa,miaka 10 Sasa haiwezi kuwa na maana

Mwisho hiyo Katiba itakuja mpaka hapo Elimu ya Katiba itakapotolewa,Rais Yuko clear kabisa
 
JamiiForums kuunganisha mmenikera kuunganisha uzi wangu,, maana idear ni tofauti na mawazo ni yangu sasa kwanini mnaunganisha,,,, so bored
 
Rasimu imechakaa,miaka 10 Sasa haiwezi kuwa na maana

Mwisho hiyo Katiba itakuja mpaka hapo Elimu ya Katiba itakapotolewa,Rais Yuko clear kabisa
Lakini tayari tunapakuanzia..hatutoanzia ZERO..hivyo tunaamini resources nyingi hazitotumika kama mwanzo ,kwa maana ya Watu,fedha na hata muda

Pia kuna hoja tayari zilishapatiwa ufumbuzi,kama suala la MUUNDO wa Serikali ..hili Tume walishalimaliza

Pia sio sawa kusema kazi ile TUKUFU eti haina maana kwa kuwa tu imepita miaka 10..
 
Hivi nyie mods mbona ni wapuuzi sana ,hivi Uzi wangu wa Katiba inafanana kimaudhui na huu?
 
Raisi Samia ni yule ambaye akitoa hotoba kwa hasira anachemsha. Siasa zinaelekea kumsumbuwa sana. Swali nilishauliza hapa

View: https://youtu.be/xvzea3alrRg?si=J4ONk1AHWTZF55F8
 
Back
Top Bottom