Bado haitoshi, tunataka na Katiba mpya sasa............Serikali inakusudia kuwasilisha mswaada wa Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kwenye Bunge lijalo ambapo pamoja na mambo mengine itaunda Tume huru ya Uchaguzi.
My Take
Chadema Kwa Sasa hamtakuwa na visingizio vingine mlishindwa.View attachment 2747412
Wewe unafikiri nani atafaidika na hiyo tume huru CCM, ACT au CHADEMA think, Chadema is ahead of you all.Serikali inakusudia kuwasilisha mswaada wa Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kwenye Bunge lijalo ambapo pamoja na mambo mengine itaunda Tume huru ya Uchaguzi.
My Take
Chadema Kwa Sasa hamtakuwa na visingizio vingine mlishindwa.View attachment 2747412
Miswaada bila katiba mpya ni kazi bure. Kama mteuzi namba moja bado ni Rais ambaye pia ni mgombea . Ni kazi bure.Serikali inakusudia kuwasilisha mswaada wa Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kwenye Bunge lijalo ambapo pamoja na mambo mengine itaunda Tume huru ya Uchaguzi.
My Take
Chadema Kwa Sasa hamtakuwa na visingizio vingine mlishindwa.View attachment 2747412
Katiba Mpya Hadi Elimu ya Katiba itoleweBado haitoshi, tunataka na Katiba mpya sasa............
Wala siyo kuanza na kutoa elimu Kwa miaka 3!
Kama ni kazi Bure susia uchaguziMiswaada bila katiba mpya ni kazi bure. Kama mteuzi namba moja bado ni Rais ambaye pia ni mgombea . Ni kazi bure.
Katiba mpya kwanza
Mabadiliko si kwa faida ya Cdm bali nchi.
Kama hamtafaidika susieni uchaguzi Ili tujue kama kweli mko aheadWewe unafikiri nani atafaidika na hiyo tume huru CCM, ACT au CHADEMA think, Chadema is ahead of you all.
Rasimu imechakaa,miaka 10 Sasa haiwezi kuwa na maanaHizo zote ni danganya toto..tunachotaka ni KATIBA MPYA ILIYO BORA!..na haitochukua muda kwa kuwa tayari RASIMU YA JAJI WARIOBA ipo tayari
SIO CHADEMA SEMA HATA CCM HAITAIBA KURASerikali inakusudia kuwasilisha mswaada wa Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kwenye Bunge lijalo ambapo pamoja na mambo mengine itaunda Tume huru ya Uchaguzi.
My Take
Chadema Kwa Sasa hamtakuwa na visingizio vingine mlishindwa.View attachment 2747412
Lakini tayari tunapakuanzia..hatutoanzia ZERO..hivyo tunaamini resources nyingi hazitotumika kama mwanzo ,kwa maana ya Watu,fedha na hata mudaRasimu imechakaa,miaka 10 Sasa haiwezi kuwa na maana
Mwisho hiyo Katiba itakuja mpaka hapo Elimu ya Katiba itakapotolewa,Rais Yuko clear kabisa