JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Katetewa wapi sasa hapo? Mnataka watu wamtukane kwa kosa alilofanya? Kwa tunaoijua taasisi ya uraisi hatuwezi mtukana hata na Id fake, halafu Huwezi kumwajibisha au kumtoa hapo kwa hilo kosa, Ni sisi kukosoa kwa staha ajue kuwa amekosea kisha arekebishe makosa nchi isonge mbele.
Hata wewe?ππππBora hata ya dikteta huyu kila kitu kipo juu mara 300%
Alikosea ni kweli... hakupaswa kutoa yale matamshiKama alilenga kutoa onyo basi sidhani kama ilitoka moyoni. nilioona mimi Rais anajua kabisa mawaziri na manaibu ni wapigaji, sasa anachowaambia wasipige sana, na yeye hana shida na hilo kama watapiga ila wasizidishe na kuvimbiwa. Maneno ambayo naona kama Rais wetu mpendwa alikosea kuyatamka.
Sahihikatiba mjomba
Mtaelewa tu[emoji16]Bora hata ya dikteta huyu kila kitu kipo juu mara 300%
Huyu Mama ni kansa kwa taifa hili la Tanganyika,kama hakiona kutamka haya mbele ya camera,yanayotendeka nyuma ya camera yanatisha.Katetewa wapi sasa hapo? Mnataka watu wamtukane kwa kosa alilofanya? Kwa tunaoijua taasisi ya uraisi hatuwezi mtukana hata na Id fake, halafu Huwezi kumwajibisha au kumtoa hapo kwa hilo kosa, Ni sisi kukosoa kwa staha ajue kuwa amekosea kisha arekebishe makosa nchi isonge mbele.
Huyo bado ni raisi wako usipoheshimu hiyo nafasi yake JAMHURI itakushurutisha uhiheshimu.
I can see!Mimi nataka kujua chief Hangaya yeye anajipimia ngapi au keshavimbiwa mara ngapi? ππππππππππ€π€π€ mimi naona ana struggle for acceptance kutaka kumplease kila mtu ndio matokeo yake hayo unaongea utumbo
Kwamba hujaona vedio nikuletee?Serikali inaongozwa na MWANADAMU na si MUNGU......
Mwanadamu huyo anawakumbusha WATENDAJI KUSIMAMIA VIAPO VYAO vifuatavyo........
1)Kutoingiliana katika majukumu ya mipaka ya kazi zao....kazi yoyote ina maslahi binafsi na Yale makuu zaidi(kutoa huduma kwa jamii)
2)Kutochafuana ,kubagazana na kufitiniana kwa kiongozi mkuu(kwenda kusema kwa mama)
Mh.SSH amefafanua vyema tu ila baadhi yetu tumeamua kufanya UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI.....
#Siempre JMTπ
Anataka kila mtu ale kwenye wizara yake asivuke kwenda kwenye wizara ya mwingine.Dah aisee ipo kazi. Nilimsikiliza kikadhani mm sijaelewa. Hii ni kama kuhalalisha rushwa lkn iwe ndani ya himaya yako. Too bad.
Kwenye uongozi huyu alitakiwa abaki kuwa msaidizi ama abaki kuongoza familia yake.Mimi nataka kujua chief Hangaya yeye anajipimia ngapi au keshavimbiwa mara ngapi? ππππππππππ€π€π€ mimi naona ana struggle for acceptance kutaka kumplease kila mtu ndio matokeo yake hayo unaongea utumbo
Nani katumia maneno makali? Unaogopa hadi kunukuu? Sasa enzi za Jiwe uli login JF kweli?Sijapunguza uzito wa maneno ila nina utaratibu wangu wa kumkosoa raisi wa nchi. Ameonyesha udhaifu kama amirijeshi mkuu kuwataka walafi wajitathimini wenyewe badala ya kuwawajibisha, still sina sababu ya kutumia maneno makali kutoa hoja yangu.
Mtawala mbovu zaidi aliyekuwa ashaondoka, alivunja maduka ya kubadilisha pesa za kigeni ya watu na kuzichukua kama zakeHuyu ni mtawala mbovu kuliko wote waliopita hapa Tz
Tofautisha woga na kufuata taratibu zako binafsi na taratibu za nchi.Nani katumia maneno makali? Unaogopa hadi kunukuu? Sasa enzi za Jiwe uli login JF kweli?
Mtawala hana hata ajenda anayosimamia.Huyu ni mtawala mbovu kuliko wote waliopita hapa Tz