JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Katetewa wapi sasa hapo? Mnataka watu wamtukane kwa kosa alilofanya? Kwa tunaoijua taasisi ya uraisi hatuwezi mtukana hata na Id fake, halafu Huwezi kumwajibisha au kumtoa hapo kwa hilo kosa, Ni sisi kukosoa kwa staha ajue kuwa amekosea kisha arekebishe makosa nchi isonge mbele.
Huyo bado ni raisi wako usipoheshimu hiyo nafasi yake JAMHURI itakushurutisha uhiheshimu.