BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Kama unazungumzia kupunguza bei ya kuunganisha umeme ... alipunguza hadi kufikia Sh. ngapi na lini?!Ushahidi wa akili kubwa ya JPM ukipunguza bei utawezesha watu wengi kupata huduma ambayo kimsingi ni fursa ya wao kujitegemea kwa kuanzisha shughuri mbalimbali zinazotegemea umeme na kujenga uwezo wa kulipia matumizi yao ya umeme,hivyo kuongeza wateja na mwisho wa siku tanesco kupata Pato kubwa,kuongoza kunahitaji maono,mtaishia kujaa madeni Kama hamna timamu.
Mkuu, hili suala mimi naliona katika sura mbili (nina hisia mchanganyiko).Mwanamaji ongeza kanyana kidogo.
Mama hajui sasa afanyaje ,ila ni msikivu sana tumieni proper channel ,anajitahidi sana kapambana ,mungu amsaidie ila amepunguza wanafiki ,sema kwenye vya technical hakujua angesikiliza tulio maeneo technical ,ila nawaapia tunaenda poa bSSa
Uzi ufungwe....Kama kuna asiyeelewa hapa ataelewa mbinguniMkuu, hili suala mimi naliona katika sura mbili (nina hisia mchanganyiko).
1. Mambo yalivyopaswa kuwa (as it should be).
Kwakuwa umeme na miundombinu yake ni mali ya TANESCO, umeme ulipaswa kuunganishwa kwa mteja bure kabisa. Au pengine kulipaswa kuwa na "bonus" kwa mteja kuunganishiwa umeme.
Mfano, Unganisha umeme ujishindie smartphone, au Unganisha umeme ujishindie unit 100 za bure.
2. Mambo yalivyo (as it is).
Huu sasa ndio UHALISIA wa mambo.
Uwezo wa TANESCO kwa sasa kuunganishia watu umeme bure, au kwa 27,000 ni mdogo mno au haupo kabisa.
Tukiwalazimisha kuunganishia watu umeme kwa hiyo 27,000 au bure, watakua wanachukua buku 27 zetu then wanaanza kutupiga chenga kuunganishia umeme. NJOO KESHO zitakua nyingi.
Msingi mkubwa wa hizi gharama ni "tusaidiane ili mambo yaende" yaani cost sharing.
Hivyo mabishano yote haya msingi wake ni nani achange nini.
Mimi binafsi nawaelewa TANESCO katika hili, elfu 27 kimsingi sio jukumu la mteja, ila kiuhalisia italitia hasara shirika tajwa.
Shida ni negativity. Tayari akili zimeshajengwa kwamba bila ya fulani basi mradi hautafanikiwa.JNHHP inaendelea kujengwa kama kawaida mkuu. Hakuna wa kuzuiaJNHPP isikamilike. Serikali inatoa hela zote kwa wakati.
LNG plant haiwezi kuua JNHPP. Hakuna mwenye akili mbovu kama hizo. Hilo liko wazi.
Kalemani ni mwanasheriaKama kuna Taasisi au Shirika lililo na changamoto za kiuongozi ni linalohusika na shughuli za uzalishaji kama vile viwanda. TANESCO kwa upande mmoja inazalisha umeme, hivyo basi, inahitaji uongozi wenye sifa na ujuzi wa kuzalisha.
Kwa uteuzi wa "mangwini" (waliopata elimu kwa kutumia vitabu vya "penguin") watapata shida sana kuliendesha kwa kuwa wafanyakazi wazalishaji watakuwa wanawalisha taarifa potofu inapotokea tatizo la kifundi (rejea kauli ya Waziri Makamba ati "umeme unakatikakatika kwa sababu ya waya uchi kugusana"!!!!)
Kama Rais SSH anawaona hao aliowateua wanafaa sana aigawanye TANESCO ya kuzalisha na kusambaza, na ya kutoa huduma (kuuza umeme). Wateule wake waendesha TANESCO huduma.
Vyeo vya shukraniTukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika?
Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika na kuunganisha kwa gharama kubwa. Hawa ni watu wasiojitambua. Nadhani kosa limeanzia kwenye uteuzi. Huwezi kuteua watu 'ngwini' kwenye wizara ambayo mambo yote ni sayansi.
Waziri 'ngwini'. Mkurugenzi Tanesco 'ngwini' Bodi ya watu 8 ina wahandisi wawili ambao walishasahaulika kwenye bodi ya mainjinia, wengine pia ni Ngwini.
Biashara ya umeme inahitaji uzalishaji wa kisayansi na kuuza umeme kisayansi. Ni tofauti na kutafuta wateja wa Multichoice au kuuza ticketi za TFF.
Teuzi za udiniKama kuna Taasisi au Shirika lililo na changamoto za kiuongozi ni linalohusika na shughuli za uzalishaji kama vile viwanda. TANESCO kwa upande mmoja inazalisha umeme, hivyo basi, inahitaji uongozi wenye sifa na ujuzi wa kuzalisha.
Kwa uteuzi wa "mangwini" (waliopata elimu kwa kutumia vitabu vya "penguin") watapata shida sana kuliendesha kwa kuwa wafanyakazi wazalishaji watakuwa wanawalisha taarifa potofu inapotokea tatizo la kifundi (rejea kauli ya Waziri Makamba ati "umeme unakatikakatika kwa sababu ya waya uchi kugusana"!!!!)
Kama Rais SSH anawaona hao aliowateua wanafaa sana aigawanye TANESCO ya kuzalisha na kusambaza, na ya kutoa huduma (kuuza umeme). Wateule wake waendesha TANESCO huduma.
Hili sijibu kabisa.Kama unazungumzia kupunguza bei ya kuunganisha umeme ... alipunguza hadi kufikia Sh. ngapi na lini?!
Na mission nahisi ni 'gas'Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Sema huna jibu SAHIHI kwa sababu ulitaka kudanganya watu!!Hili sijibu kabisa.
Hao akina Maharage Chande walishajichokea, wameona 27,000/= ndo issue ya kuongelea kwamba shirika linapata hasara lakini wizi mkubwa wa umeme unaofanyika hawajui namna gani watadhibiti. TANESCO inapoteza mabilioni ya pesa kila mwezi kwa wezi wa umeme wakishirikiana na watumishi wasio waaminifu wa shirika inawezekana huo mgao wa pesa unamfikia pia huyo Maharage. Tulikwishawaambia baadhi ya maeneo tunayoyajua yenye wizi mkubwa wa umeme kama Igogo na Sahara Jijini Mwanza, huko kuna watu wana TANESCO yao wameunganishiwa umeme bila mita na wao wanausambaza majumbani kwa malipo yaliyo sawa kwa kila nyumba, uamue kupikia jiko la umeme sawa tu, uambue kutumia mashine ya kuchomelea ni wewe tu lakini malipo ya mwezi ni shilingi 10,000/=Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika?
Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika na kuunganisha kwa gharama kubwa. Hawa ni watu wasiojitambua. Nadhani kosa limeanzia kwenye uteuzi. Huwezi kuteua watu 'ngwini' kwenye wizara ambayo mambo yote ni sayansi.
Waziri 'ngwini'. Mkurugenzi Tanesco 'ngwini' Bodi ya watu 8 ina wahandisi wawili ambao walishasahaulika kwenye bodi ya mainjinia, wengine pia ni Ngwini.
Biashara ya umeme inahitaji uzalishaji wa kisayansi na kuuza umeme kisayansi. Ni tofauti na kutafuta wateja wa Multichoice au kuuza ticketi za TFF.
Ungeniuliza mimi ningesema 27,000 siyo hata issue ya Mkurugenzi kujadili. Hiyo ni sawa na machinga anavyonunua betri na kuweka kwenye kipaza sauti kuita wateja. Wateja hawahitaji kufidia ghrama za nyaya na nguzo na vikombe na mita. Hizo ni assets za shirika na ni wao wanaojua specification zake.Hapo kwenye kuwaunganishia wateja wapya umeme "kisayansi", ndio bei yake inatakiwa kuwa 27,000 nchi nzima mkuu?
Kwa tafsiri ya neno 'Ngwini' Pale UD, huyu ni 'NGWINI'.huyo jamaa sio ngwini mkuu, ila labda useme experience tu kwenye hiyo sector
View attachment 2128953
Nilipomuona Waziri Januari amevaa suti na miwani, akizungumza kama philosopher ingawa maneno hayakuwa na philosophy, nikajua TANESCO kwa heri. Tanesco haihitaji ujidai unajua, inahitaji mtu anayejitambua hajui ili watu wamweleze asiyoyajua. Sasa kama aliingia kwa ujuaji, ameanza kuonesha u-mbumbumbu wake.Hao akina Maharage Chande walishajichokea, wameona 27,000/= ndo issue ya kuongelea kwamba shirika linapata hasara lakini wizi mkubwa wa umeme unaofanyika hawajui namna gani watadhibiti. TANESCO inapoteza mabilioni ya pesa kila mwezi kwa wezi wa umeme wakishirikiana na watumishi wasio waaminifu wa shirika inawezekana huo mgao wa pesa unamfikia pia huyo Maharage. Tulikwishawaambia baadhi ya maeneo tunayoyajua yenye wizi mkubwa wa umeme kama Igogo na Sahara Jijini Mwanza, huko kuna watu wana TANESCO yao wameunganishiwa umeme bila mita na wao wanausambaza majumbani kwa malipo yaliyo sawa kwa kila nyumba, uamue kupikia jiko la umeme sawa tu, uambue kutumia mashine ya kuchomelea ni wewe tu lakini malipo ya mwezi ni shilingi 10,000/=
Mkuu, ni kiwanda au viwanda gani hivyo.Nilipomuona Waziri Januari amevaa suti na miwani, akizungumza kama philosopher ingawa maneno hayakuwa na philosophy, nikajua TANESCO kwa heri. Tanesco haihitaji ujidai unajua, inahitaji mtu anayejitambua hajui ili watu wamweleze asiyoyajua. Sasa kama aliingia kwa ujuaji, ameanza kuonesha u-mbumbumbu wake.
Pale Dar kuna viwanda vinayeyusha vyuma chakavu usiku kwa kutumia umeme bila mita. Mchana ukienda wanatumia mita. Vijana wa TANESCO wanajua na wanakula bili kila mwezi! Haya ni mengi muno na 'mameneja' wa kanda na mikoa na makao makuu wanafahamu. Sasa huyo Maharage Chande na ujanja wa misheni misheni atafika wapi na wa-TZ?
Alipunguza kutoka bei iliyokuwapo Hadi 27000 nchi nzima ili watanzania wapate fursa ya kutumia umeme.Sema huna jibu SAHIHI kwa sababu ulitaka kudanganya watu!!
Bei ya 27,000 ipo tangu 2014!Alipunguza kutoka bei iliyokuwapo Hadi 27000 nchi nzima ili watanzania wapate fursa ya kutumia umeme.