TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Huo uzi sijauona...
Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?
Sasa hoja ya pili kwamba nchi imeingia kubaya, sijui unazungumzia awamu ipi ila Kama ya JPM, hapana, maana Mwamba alitaka kuifanya nchi kujitegemea, kuwa sawa na kujari masilahi ya wananchi, hebu twende kwa mifano mkuu, nchi yetu ndo Kwanza tunaawamu ya 6 yaan tunarais wa 6, tukiwa tunamiak 60...