Yule mtangazaji mwenye kofia ya adidas anaweza kupoteza nafasi yake kwakuwa atatafsiriwa ameungana na LissuMhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
Ulipoishia, umeandika upumbavu wa MIGa?Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
ππππ. KUMBE NAJADILIANA NA JITU KAMA WW?? PUNGUANI NA ASIYE NA UBONGO KABISA?? NDIO MAANA BADO UNAMLILIA MFU AMBAYE HATUKUMPENDA KABISA. UTAKUWA HATA KUOGA HAUOGI WW UNANUKA UVUNDO TUPU KILA SIKU. MWENDAZAKE ALIKUWA NA WASHABIKI MAFII KABISA. πππMke wangu ule mkopo wako Kule EFTA ulimaliza Salama?Tangu EFTA wakunyanganye vifaa walivyokukopesha kwa kushindwa kulipa marejesho Yao naona hua unapaniki Sana.
Ushauri utachukuliwa but kuna wabunge wanasikiliza why hawamhoji Waziri Bungeni?Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
What a serious joke!? π€π€π€π€Tundu Lisu hamzidi Maulid Kitenge kwa uelewa wa mambo ya Ngorongoro!
Hahahaaaa........!What a serious joke!? π€π€π€π€
Unaijua hata ngorongoro wewe? Unajua uwepo wa masai ngorongoro ni moja ya sababu na kivutio cha utalii?Wamasai wamejaa nchi nzima na ngo'mbe zao. Yani vurugu mechi. Ila tunaishinao hivyo hivyo. Leo tunacheka kesho tumenuniana. Ila inaonekana wao sehemu moja tu ndo. ......wakiondoka huko ndo itakuwa kama. .labda wote watakufa...
Ingekuwa vyema ungeandika hapa alichosema huko Twitter maana wengine hatupo hukoMhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
Soma hiyo journal ni ya utafiti kuhusu sheria zinazotungwa kulinda ardhi za hifadhi zinavyowatenga watu wanaoishi katika hifadhi na kuhatarisha maisha ya wanyamaKabla ya hapo alikuwa Ngororo jamani na journal article ambayo kaandika mwenyewe nimewawekea bado mnabisha....
Kama alivyomshauri Magufuli kwenye madini na akapuuzwa, ndivyo unaweza kufanya wewe, ila sidhani kama na wewe utakwepa yale matokeo yaliyomkuta mtangulizi wako katika ule mgogoro.Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
Inazidi ile ya operation vijiji vya ujamaa?Hili suala la Ngorongoro mama Samia Suluh asipolitatua kwa umakini zaidi linaweza kuachia serikali yake uchafu isiyoweza kufutwa kurahis
Wapi nimeandika kwamba namchukia masai? Kichwa chako ni kizima kweli?Unamchukia masai ila unapenda nyama na maziwa? We vipi, huna msimamo! Kuwa rasi ule malalio ya nyoka mpaka unye bluu
πππ James hua una mikwara ya kiduanzi Sana.Nitakulipia mikopo yako yote kule EFTA lkn Kama unavyojua puru yako ni Halali yangu Kama ilivyo kawaida ππ
Kiwango cha ujinga na upumbavu wenu una bei rahisi sana. Kwa vyo vyote na lolote bakini hivyo hivyo.kwenye madini binafsi sikukubaliana na JPM kwenye baadhi ya mambo lakini TL hakuna lamaana aliloshauri zaidi ya makelele na baadaye nilihisi ana maslahi na Acacia kupitia watu fulani.
Ngoringoro its either Masai waondoke na Ngorongoro ibaki au Masai wabaki na Ngorongoro ipotee. Mwaka 1950 kulikuwa na Masai wangapi Ngorongoro na leo 2022 kuna Masai wangapi Ngorongoro...? Ukubwa wa Ngorongoro ni ule ule au umeongezeka..
Hata akiwa hapa nchini ushauri wake ushawahi kusikilizwa?Lissu kwanini abaki huko kwa mabeberu, nchi haendeshwi space.