Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

Jamaa ana knowledge kubwa sana juu ya mambo mengi na bila shaka ni i kwa sababu anasoma sana vitabu, anasoma historia na pia anafanya utafiti yeye kama yeye.
salary please, nirusghie link inbox if possible
 
Wanafanya Nini pale?

Bado kidogo Ngorongoro iwa mamlaka ya mji mdogo.

Na baadae iwe Halmashauri ya mji kabisa.

Sijui kama Taifa tunanufaika na nini?
Kuwahamisha wale watu ni kuwapatia Elimu watoto wao na kuwaajiri sehemu mbalimbali .
Hakuna Msomi atakubali mtoto wake alale porini na fisi.
Kuna watu Wana Roho mbaya sana linapokuja suala la maslahi yao binafsi.
Hawana tofauti na wale wanaowatumia walemavu kujipatia kipato Kwa njia ya kuomba omba mitaani na wao kukusanya pesa jioni!
 
Yaani alishauri nini kuhusu madini ambacho kingefanyika zaidi ya kusema tutashitakiwa? Mambo mengine yahahitaji akili za kizalendo na siyo mtu kama lisu anayelipwa na hao waliompiga risasi
hakuna jema alishawahi kuliona hapa Tanzania. badala ya kushauri, mtu anakuja kuwatisha kwamba mtashitakiwa.
 
Kwani wanyama wao wanasemaje kuhusu uwepo wa masai ngorongoro?? .napendekeza iundwe tume ya kuongea na wanyama tujue kama nao wanafurahia majirani zao wamasai kuwepo kule ngorongoro.
watafanay ngorongoro kuwa jangwa, majani yakiisha, watakimbilia kwengine na wanyama hakuna. kwani maeneo mengine hayo yenye migogoro kati ya masai na wakulima kukoja? ni kwamba huko walikotoka wamepukutisha nyasi wanakimbilia maeneo ya wakulima sasa. unajua ukifuga sana ng'ombe hadi akili huwa zinaweza kufanana na ngómbe. kichwani mwao hao wanaharakati hawajui kuwa overgrazing huwa inaharibu mazingira kabisa na wanataka waharibu ngorongoro ili wabaki na ngómbe wao.
 
Jamaa ana knowledge kubwa sana juu ya mambo mengi na bila shaka ni i kwa sababu anasoma sana vitabu, anasoma historia na pia anafanya utafiti yeye kama yeye.
Kwa muda mrefu tundu yuko jobless anakula bure, kulala bure, acha awe mwandishi wa huru wa habari maana hakuna chombo cha habari anachofanyia kazi.
Acha asome historia na pia afanye utafiti yeye kama yeye.
 
Ni kweli kabisa mkuu.
Kama Kuna mtu anaona kuwa Maisha ya kuishi na wanyama mwitu ni maisha Bora basi ahamie Huko.
Kwa nini watu wanapenda kuwatumia binadamu wenzao kama wanyama Kwa faida zao.
Mapesa Mengi yanayotolewa na Mamlaka ya Ngorongoro Kwa ajili ya Wamasai wanaoishi pale yanawanufaisha watu wanaoishi Masaki na Njiro kule Arusha.

Tunawadanganya Wakazi wa Loliondo wakati watoto wao wanakosa Elimu. Wanakosa Elimu ya kuwafanya wawe Maprofesa,Madaktari,Mainjinia, Marubani na kuwa mameneja wa mashirika makubwa kama Tanesco, NHC, NSSF na Mabenki. Watoto wanachunga Kondoo katikati ya mbwa Mwitu. Pamekua na kamji kenye nyumba nyingi za udongo lakini ni Mji usio na Miundo mbinu Bora ya Maji, umeme, Barabara,mashule, viwanja vya michezo Kwa ajili ya watoto wao, majumba ya starehe ,usafiri wa uhakika, Mahospitali n.k.
Kama Kuna muongo na mnafiki anayeona kuwa Yale maisha ndani ya hifadhi ni maendeleo Bora basi ni mtu wa kupuuza mana ni mtu mlaghai.
 
Lissu alimshauri Jpm kuhusu madini Lakini Jpm alidharaua mwishowe hatujui makinikia yaliishia wapi
 
tunataka watalii waende mbugani, hakuna miundombinu mizuri ya sewages n.k, watu wanaishi kama wanyama tu, kamata masai wote Tanzania waambie kila mtu huko porini aonyeshe wapi amejenga choo, utagundua wanaishi tu kiporipori. kuna siku wazungu wataharisha huko mbugani hadi wataacha kuja kutalii. na jueni wazungu ambao wengi ndio watalii matumbo yao hayana sugu kama sisi wabantu..hahahaha.
 
Kwa muda mrefu tundu yuko jobless anakula bure, kulala bure, acha awe mwandishi wa huru wa habari maana hakuna chombo cha habari anachofanyia kazi.
Acha asome historia na pia afanye utafiti yeye kama yeye.
Kupigwa kwake Risasi ilikuwa kama kumpiga teke Chura. Amepata exposure na connection kubwa huko Ulaya na Marekani baada ya kuwa anaumwa. Hiyo Fursa asingeipata na hakuwahi kuipata
 
Hapo Chalinze tu Jiji cha Msoga nyumbani kwa Kikwete kuna wamasai kibao wanakunya kwenye vichaka.
 
Wewe lumumba uliyeazima ubongo wako huko ccm uliwahi kumwelewa Tundu Lissu akili kubwa??
 
Hapo Chalinze tu Jiji cha Msoga nyumbani kwa Kikwete kuna wamasai kibao wanakunya kwenye vichaka.
tuseme ukweli, kwa wale ambao tumefika ngorongoro, huw akunakuwa na yale maboma yamezunguka nyumba, hivi kati ya yale maboma yamezungushwa, mojawapo ya bomba huwa linakuwa ni la choo? vijumba unavikuta porini ni kijumba kimoja kimoja tu, tunategemea kuwe na nyumba ya kuishi na walau kajijumba ka choo pembeni, lakini unakuta kuan boma moja tu au mawili tu au matatu na yote hayo ndani wanakaa wake za mtu mmoja na watoto. sasa unajiuliza, vyoo wanajenga wapi? au ndo kutembea na jemba. huko machungani wanajisaidiaga wapi? au ndo kusambaza uchafu kama pundamilia tu? ndo mnataka msambaze magonjwa kwenye mbuga huko tukose watalii kwasababu yenu? na sisi hatutaki kuwafanya ninyi kivutio cha utalii, tunawajali kama wanadamu sawa na sisi.
 
🤣🤣🤣
 
Wewe lumumba uliyeazima ubongo wako huko ccm uliwahi kumwelewa Tundu Lissu akili kubwa??

Inawezekana TL akawa mzuri sana kwenye sheria aliyosomea, kama mimi nilivyo mzuri sana kwenye taalum yangu niliyosomea....ila inapofika kwenye issue ya uelewa wa mambo mbalimbali na exposure binafsi namuacha mbali sana Lissu....tena huko kwenye madini nina uelewa mpana sana mara 10000 kuliko huyo Lissu unayemsema...ananidhidi uelewa kwenye taaluma yake ya sheria, hilo nakubali...
 
Hiyo taaluma yako si uitaje kama ulivyotaja ya Lissu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…