Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
 
Akiondoka tyu wenzio wanaprint form ingine 😀
 
Niliwaambia watu kuwa huyo samia anatembelea nyota ya JPM ..kwa sasa nyota ya jpm imesha zimika na yeye binafsi hana chochote cha maana ni giza totoro ...hivyo hana mvuto popote zaidi ya arabuni ...na nchi imekuwa giza hiyo imepoteza mvuto na umuhimu duniani ...uchumi umekufa makusanyo ya kodi ni mali ya bwana Rostam azizi.
 
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Marekani Hana maslahi kwa Tanzania. Huyu Samia siyo rais mwenye uwezo wowote wa kumfanya Trump amfikirie kwenye utawala wake. Na akitumia misaada kwenda kuzurura huko USA jamaa atamchana live.
 
Ni kweli amepunguza safari mkuu.
Japo siwezi mikasema specifically idadi ama takwimu.

Miezi ya karibuni amekuwa akituma wawakilishi kwenye Mikutano Mikubwa ya nje na ya kimataifa, nimeona akimtuma Makamu wa Rais, akimtuma Waziri mjuu na wakati mwingine Jakaya kikwete JK.

Nahisi safari za magharibi zimekata kwasababu za Uchaguzi mkuu Tz. Safari yake ya mwisho Alikuwa Angola
 
Nachomekea tu.
Mkuu nyani ngabu umejifunza wapi kiingereza mkuu ???

Unakiingereza kizuri mno
 
Ni kweli amepunguza safari mkuu.
Japo siwezi mikasema specifically idadi ama takwimu.

Miezi ya karibuni amekuwa akituma wawakilishi kwenye Mikutano Mikubwa ya nje na ya kimataifa, nimeona akimtuma Makamu wa Rais, akimtuma Waziri mjuu na wakati mwingine Jakaya kikwete JK.

Nahisi safari za magharibi zimekata kwasababu za Uchaguzi mkuu Tz. Safari yake ya mwisho Alikuwa Angola
Uchaguzi mkuu mbona hata kampeni hazijaanza….

Mi nahisi ni vile ambavyo Tanzania imekuwa ikimulikwa na vyombo vya habari vya kimataifa.
 
Zilikuwa safari za kimkakati. Ameshaweka misingi ya diplomasia aliyoitaka, na ameeleweka vizuri sana huko nje ndio maana Ikulu haikaukwi na viongozi wakubwa duniani kwa sasa. Narudia, Hazikuwa safari za kwenda kula bata bali kuweka misingi imara ya ushirikiano na nchi hizo.
 
Kiongozi gani mkubwa kaja nchi hii?
 
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Aende USA abansnishws na yule wa SA 🤣🤣🤣.

Shooti wake alikosa Urais, angepata nadhani angekuwa ameshakwenda zaidi ya mara 2.

Alipafanya US kama Zenji!
 
Kweli aisee. Kama Kamala angeshinda lazima angekuwa keshaenda.

Ila acha tu Trump awanyooshe [hata kama njia anazotumia si za kiungwana].

Kutokuzurula kwake kunatusaidia kusevu vijisenti.
 
Back
Top Bottom