Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

Afrika Kusini kuna uhuru wa kujieleza.
Kama ni uhuru wa kujieleza how come tena Trump na genge lake la akina Elon waone Julius Malema anachochea the so-called White Genocide?! Na unadhani Ramaphosa kilichompeleka huko ni kipi kama sio hilo hilo la the so-called White Genocide? Ni kwamba hujui au unajifanya hujui ili ionekane Ramaphosa ameenda huko kwa sababu ya serikali yake kupendwa na Trump?
Ramaphosa.jpg
Yaani unaita Rais wa nchi halafu unaanza kuituhumu nchi yake kuhusika na White Genocides wakati hata wazungu wenyewe wenye akili kama hao Reuters wanaita ni baseless accusations lakini hapa unataka kuaminisha watu kwamba Rama alikaribishwa kwa heshima? Hata huyo Zelensky nini kilimkuta kwa huyo mwehu ambae unadhani kwenda kwenye nchi yake ni ishara ya mafanikio ya kiuongozi?
 
Zilikuwa safari za kimkakati. Ameshaweka misingi ya diplomasia aliyoitaka, na ameeleweka vizuri sana huko nje ndio maana Ikulu haikaukwi na viongozi wakubwa duniani kwa sasa. Narudia, Hazikuwa safari za kwenda kula bata bali kuweka misingi imara ya ushirikiano na nchi hizo.
Thubutu,panda ghorofani kuna mapochi ya bei rahisi
 
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Wameshamstukia kuwa ni dikteta ndiyo maana hawampi mialiko tena
 
Sera ya Trump ni tofauti na Biden. Trump anakataa mahusiano na wachezea pesa za misaada. Watu wasio na plan ya.kuzalisha. Anatafuta maslahi zaidi kwa wamarekani.
Halafu trump mdomo wake hauna breki anakuchana live kama una gubu na mahasira ya kiafrika bora usitie mguu.
 
Kesi ya mchongo ya Lissu, kupotea hivyo kwa wakosoajinwa Serikalinyake kumeshamshushia sana hadhi yake ndani na nje ya nchi
 
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Hapo kwenye mama yenu sema tu Raisi wetu
 
Nyani Ngabu dah umechungulia parefu, ila kwa yanayowtokea marais pale Oval office, unaweza kuwa ambushed na kitu kizito ukatoka na aibu kubwa na pakutokea usipaone. Ila naamini kwenye UNGA mwezi wa 9 labda atatia timu.
 
Naona safari za kiongozi wetu mpendwa kwenda Nje ya nchi zimepungua
 
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Hadi alitengua uwaziri wa Mulamula kisa hajafanya juu chini aonane na Joe Baiden, akaishia kukutana na Makamu, halafu, Yezebeli akafura.
 
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Kashageuka paka mwitu.
 
Li TP halina kukupaka paka mafuta, linakupa za usoni na vithibiti live on the telly! Si litapewa hivyo vithibiti na ubalozi wao hapa na yule dada mmbeya aliyepigwa person no grata!
Oval office ni tanuru la moto kwa viongozi toka banana republics!
Ataumbuka na kujuta!
 
Back
Top Bottom