Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Anga lote la dunia, sasa hivi sio salama kusafiri kwa mtu kama rais.

Imagine upo kwenye mwewe katikati ya bahari ya Atlantic.

BREAKING NEWS inakufikia vita kuu ya tatu ya dunia imeanza(W.W. 3)

Na wanasema muiran ameshatuma anti - continental ballistic missile kuelekea kwa mwenye mbwa.

We unadhani kuna mtu anapenda kuacha samaki vibua?

Screenshot_20250623-200703_Photos.jpg

Hata hizi ajari za ndege zinazotokea, msidhani ni ajari za kawaida, kuna watu wanatest mitambo.
 
Shida nini Mama wa Lucas Mshambwa.

Machozi yanatiririka kwa huzuni maana usiposafiri Lucas hapati vijizawadi tena.

Muhurumie mwanao mama. Walao mara moja kwa mwezi kama sio kwa wiki.

Sasa usiposafiri utatutafutiaje mafweza kama ulivyokuwa unajigamba kuwa unaenda kututafutia mapene mama?
 
Ni kweli amepunguza safari mkuu.
Japo siwezi mikasema specifically idadi ama takwimu.

Miezi ya karibuni amekuwa akituma wawakilishi kwenye Mikutano Mikubwa ya nje na ya kimataifa, nimeona akimtuma Makamu wa Rais, akimtuma Waziri mjuu na wakati mwingine Jakaya kikwete JK.

Nahisi safari za magharibi zimekata kwasababu za Uchaguzi mkuu Tz. Safari yake ya mwisho Alikuwa Angola
Nadhani Pia alivyofikiria kutambulika huko Nje hasa in Western countries haikuwa to what she had expected, her approach of diminishing and negatively depicting the JPM Legacy to the outside world didnt work. She had to back roll !
 
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Kwani alivyoambiwa avue kilemba/hijab kule Ufaransa hukumbuki?
Haikuwa bahati mbaya.
 
Hadi alitengua uwaziri wa Mulamula kisa hajafanya juu chini aonane na Joe Baiden, akaishia kukutana na Makamu, halafu, Yezebeli akafura.
Mulamula ana bahati, mwenzake enzi zile kwa Baba Moi, Dr Ouku akiwa Foreign Minister alienda naye kwa Uncle Sam, na Dr Ouku akawa ameteka show nzima kuliko Boss nwake, waliporudi Nairobi, baada ya siku 2 mwili wa Dr Ouku ulikutwa umetelekezwa kenye Bustani za Nyuma ya nyumba yake, and that was the end of story.
 
Finland wamejiunga na NATO. NATO Wana influence kubwa Ulaya na Amerika. Na NATO Wana motto yao ya "akiumizwa mmoja tumeumizwa wote". Kwa hiyo, Finland Si wa kupuuzwa.
Finland ana status sawa na vinchi vingine vidogo ambavyo ni members pia wa NATO, such as Lativia and the like. So bado Finland is neither Politically nor economically an influential player in Global affairs, yeye amehitaji NATO zaidi kuliko NATO ilivyomuhitaji. So my grading remains valid !
 
Sawa
 
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?

Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.

Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.

Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.

Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.

Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.

Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.

Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.

Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.

Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.

Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.

Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.

Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Samia hajawahi kufanya safari ambazo hazina manufaa kwa nchi
 
Back
Top Bottom