Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

Lakini Trump amemuuliza Ramaphosa kwanini asimkamate Malema! Hapo demokrasi ipoje?
 
Mbona hueleweki? Hoja yako ni Bi. Chura Kiziwi na Safari za Nje ya Nchi au Safari za Marekani?
Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..

That’d be some visuals to behold 🤣.
Kwahiyo ameanza kupata changamoto ya lugha baada ya Trump kuingia madarakani? Na hicho kilichowapeleka Ramaphosa na Zelenskyy kina-exist Tanzania?!
 
Sababu si inajulikana? Ipo waaazi kabisa
 
Wakinanaaa Wakina Ramaphosa huwa wanajipeleka wenyewe huko US au huwa wanaitwa?
 
kuishi ramli ni kitu mbaya sana aise gentleman 🐒
 
Hii ni 2025 mwaka wa kukaa kimachale...

Kura yenyewe mwaka huu kaamua aipigie Chamwino
 
Ingia Google uone mkutano wa Nishati ulihudhuriwa na viongozi gani na wangapi? Halafu tafuta kama kuna mkutano wowote katika historia ya Tanzania kuwahi kuhudhuriwa na viongozi wa hivyo.
sijui umri wako lakini mwaka 1977 enzi za Nyerere kuna mkutano mkubwa wa nchi zinazoendelea duniani ulifanyika Tanzania kituo cha kimataifa cha AIC Arusha International Conference
Kulijengwa hotels nyingi ndogo ndogo maeneo ya kule Philips Arusha na ndio chanzo cha hotel hizo kuitwa Hotel 77.
Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua kumbe magari madogo yanaweza tumia diesel maana kulimwaga benz nyingi mno Arusha kwa viongozi hao.Kiongozi ninayemkumbuka wa nje ya Africa alikuwa raisi wa Papua New Guinea alikuwa mweusi amevaa vazi lao la heshimu Scate kiingereza wanaita Kilt.Namkumbuka sababu alinipa mkono.
Why alinipa mkono kipindi hicho nilikuwa kamanda wa chipukizi hivyo tulipelekwa kule kwenye jumba hilo kufanya gwaride wakati huo nilikuwa std5 shule inaitwa Uhuru primary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…