Kama ni uhuru wa kujieleza how come tena Trump na genge lake la akina Elon waone Julius Malema anachochea the so-called White Genocide?! Na unadhani Ramaphosa kilichompeleka huko ni kipi kama sio hilo hilo la the so-called White Genocide? Ni kwamba hujui au unajifanya hujui ili ionekane Ramaphosa ameenda huko kwa sababu ya serikali yake kupendwa na Trump?Afrika Kusini kuna uhuru wa kujieleza.
Rais wa Finland na Rais wa Namibia!Kiongozi gani mkubwa kaja nchi hii?
Thubutu,panda ghorofani kuna mapochi ya bei rahisiZilikuwa safari za kimkakati. Ameshaweka misingi ya diplomasia aliyoitaka, na ameeleweka vizuri sana huko nje ndio maana Ikulu haikaukwi na viongozi wakubwa duniani kwa sasa. Narudia, Hazikuwa safari za kwenda kula bata bali kuweka misingi imara ya ushirikiano na nchi hizo.
Wameshamstukia kuwa ni dikteta ndiyo maana hawampi mialiko tenaHivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.
Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.
Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.
Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.
Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.
Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.
Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.
Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.
Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.
Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.
Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.
Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..
That’d be some visuals to behold 🤣.
Usipoenda Trump anakutungua na drone🤣🤣🤣Iwe wanajipeleka au wanaitwa, ingekuwa ni mimi nisingeenda.
Ila we kajamaa una home ya akili,,,, umetupiwq sifa hapo unaweza toa chochote ikibidi hata uanaume wako!! Too silly!!Hahahaaa mimi wa fom foo tu bana.
Hapo kwenye mama yenu sema tu Raisi wetuHivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.
Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.
Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.
Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.
Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.
Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.
Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.
Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.
Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.
Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.
Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.
Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..
That’d be some visuals to behold 🤣.
Nyani Ngabu dah umechungulia parefu, ila kwa yanayowtokea marais pale Oval office, unaweza kuwa ambushed na kitu kizito ukatoka na aibu kubwa na pakutokea usipaone. Ila naamini kwenye UNGA mwezi wa 9 labda atatia timu.Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.
Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.
Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.
Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.
Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.
Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.
Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.
Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.
Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.
Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.
Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.
Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..
That’d be some visuals to behold 🤣.
Hadi alitengua uwaziri wa Mulamula kisa hajafanya juu chini aonane na Joe Baiden, akaishia kukutana na Makamu, halafu, Yezebeli akafura.Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.
Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.
Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.
Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.
Sasa, yawezekana labda ni hisia zangu tu, kwamba siku hizi kapunguza kusafiri kwenda nje ya nchi.
Sikumbuki, kwa mfano, mara ya mwisho kaenda lini Marekani.
Nadhani tokea Bwana mkubwa Trump ashinde uchaguzi, Rais wetu huyu hajakanyaga Marekani.
Si lengo langu wala wajibu wangu kumpa huyo mama [yenu] Ushauri.
Ila kwa mapigo ya Marco Rubio, JD Vance, na baba lao Trump, sidhani kama Samia atatia mguu ndani ya Oval Office anytime soon.
Kusema ukweli hata hivyo, natamani sana aende Oval Office ili akapate Oval Office treatment kama walivyopata akina Zelenskyy na Ramaphosa.
Pata picha Trump, Vance, Rubio, na MAGA media ndo wamemuweka mtu kati hapo Oval Office kuhusu serikali yake na utekaji wa watu pamoja na uminywaji wa demokrasia.
Ukichanganya na changamoto ya lugha ya mfalme/malkia…..
That’d be some visuals to behold 🤣.
Siku hizi anakatumia kale kanafiki, baba wa mafisadi Tz kuwakilishaNaona safari za kiongozi wetu mpendwa kwenda Nje ya nchi zimepungua
Kashageuka paka mwitu.Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?