Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Wewe mwenyewe kwa undani wako unaelewa Magufuli alitumia system aliyoikuta for his advantages; bila ya ulazima.

Hila kwa kazi yake on per, hakukuwa na mtu wa kumshinda Magufuli kumsinda Magufuli uchaguzi wa 2020; acheni kuongea upumbumbavu.

Yule jamaa watanzania tulimuamini anauwezo wa kutuvusha kuliko mfano.

Ndio hivyo tena chema; hakidumu.
Hakuna aliyekuwa na tatizo la Magufuli kushinda kihalali, tulitaka kura halali zitangazwe kisha ungejua ni kwa kiwango gani kizazi kimebadilika. Lakini hakuwa tayari kupokea matokeo ya halali ambayo yalikuwa kinyume cha utashi wake na nyie waumini wake.
 
Hakukuwa na wa kumshinda Magufuli 2020 kubishana hilo na wewe ni ku entertainment whatever mental issues you have.

Hilo lipo wazi hata leo isingekuwa covid wengi wanajiuliza kwa mungu kwanini ukawatolea Magufuli.

Hizo ndio facts za mtaani ukitoa upuuzi wenu wa mitandaoni.
 
NJIA PEKEE YA KUJITOFAUTISHA NA WAPUMBAVU NI KUKAA NAO MBALI!
 
Hakukuwa na wa kumshinda Magufuli 2020 kubishana hilo na wewe ni ku entertainment whatever mental issues.

Hilo lipo wazi hata leo isingekuwa covid wengi wanajiuliza kwa mungu kwanini ukawatolea yule.

Hizo ndio facts za mtaani ukitoa upuuzi wenu wa mitandaoni.
Narudia tena, hakuna aliyekuwa ana tatizo na Magufuli kushinda kihalali, zingatia hilo neno kushinda kihalali. Kwa taarifa yako uchaguzi wa 2020 ulikuwa na wapiga kura wachache sana, na sababu hasa ni tabia ya huyohuyo Magufuli kunajisi chaguzi. Ukiona mtu unayeamini anaweza kushinda kihalali, kisha hayuko tayari kuona matokeo ya halali yakitangazwa, ww utakuwa ni punguani wa kawaida kabisa.
 
Ndio maana nikakueleza Issue ni mfumo wa kujihami alioukuuta, jumlisha na nguvu zake za kikatiba kuweza kuamua matokeo ya uchaguzi. You can’t blame people for taking automatic advantages they have in life.

Lakini kiuhalisia ata Magufuli bila ya kutumia nguvu zake za kikatiba; hakukuwa na mtu wa kumshinda uchaguzi wa haki 2020. Hata angeamua kuwatundika viongozi wote wa upinzani hadharani wapigwe risasi mbele ya national TV; jamaa wananchi walio wengi walimwelewa na tungempa kura.

Leadership is about trust, wananchi waliowengi wakikuelewa na kukuamini kwenye uongozi: you can get away with anything.

Magufuli wananchi tulimwelewa na kumuamini; msingeweza mshinda.

Kufa kwake kwa ghafla ametukosea sana watanzania.
 
Kipimo cha kueleweka na wananchi wengi ni kwenye box la kura halali sio hizo blabla zako. Hakuna mwenye tatizo na yeye kushinda kihalali, hata kama ww na wapambe wake mngelala kwenye vituo vya kura. Kila mtu alitegemea kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020 Magufuli ndio angepata watu tu, lakini alichokiona kwenye kampeni ile alijua alijidanganya kwa kuamini kuwa kawamaliza wapinzani hasa CDM. Hata ile kuumwaumwa wakati wa kampeni ni pale alipokuwa anaona ukweli uliomuumiza, aliyetumia nguvu kubwa kumchafua alikuwa anapata watu wengi bila hata bango moja la matangazo, wala mbeleko ya vyombo vya dola. Hata yeye kuamua kupora uchaguzi ule ni baada ya kuona matokeo hayaendani na matamanio yake.

Unasema wananchi walimwelewa wakati vyombo vyote vya habari vilikuwa vinampamba yeye, na wakati huo huo akawa amezuia wengine kufanya siasa ama kupewa airtime. Utakuwa ni bonge la mwendawazimu kusema Simba ni timu nzuri, huku iko uwanjani inacheza yenyewe, kisa washabiki wake wanaisifia na kuielewa. Kama wananchi wangekuwa wamemwelewa hivyo asingepika idadi ya wapiga kura, na hadi idadi ya kura alizotaka atangazwe nazo. Mtu mjinga tu ndio unaweza kumwambia hili usemalo akaelewa.
 
Akili zako zina kutosha mwenyewe.

Ebu ingia kitaaa umuulizie mtu ambae mfumo wake wa maisha hautegemei mshahara wa serikali au system yoyote ya ufisadi inayomnufaisha akwambie.

Yaani wananchi hasira zao kwa Magufuli ni kufa kwake kishamba tu; si angepiga tu chanjo ya covid.

Sitaki kukulisha maneno; nenda kaulize kwa wananchi wakuambie.

Magufuli alikuwa jembe
 
Hata angeamua kuwatundika viongozi wote wa upinzani hadharani wapigwe risasi mbele ya national TV; jamaa wananchi walio wengi walimwelewa na tungempa kura.
Duh! Huu ni zaidi ya upumbavu, ni ushetani katika umbo lake haswaa.
Leadership is about trust, wananchi waliowengi wakikuelewa na kukuamini kwenye uongozi: you can get away with anything.
Seriously? Including getting away with murder? Umelewa nini ndugu yangu na mimi niitafute!
Magufuli wananchi tulimwelewa na kumuamini; msingeweza mshinda.
Wananchi gani hao unawaongelea? How stupid can one get?
Kufa kwake kwa ghafla ametukosea sana watanzania.
Malipo ya uovu ni hapa hapa duniani. Magufuli got what he deserved and for your info, many celebrated his death. By many I exclude crazies like you of course!
 
Duh! Huu ni zaidi ya upumbavu, ni ushetani katika umbo lake haswaa.

Seriously? Including getting away with murder? Umelewa nini ndugu yangu na mimi niitafute!

Wananchi gani hao unawaongelea? How stupid can one get?

Malipo ya uovu ni hapa hapa duniani. Magufuli got what he deserved and for your info, many celebrated his death. By many I exclude crazies like you of course!
The negativity of Magufuli leadership is in your head, otherwise facts za shujaa zipo kwa mamillioni ya watu waliokitaa.

You as a stressed old who hadn’t even experienced his leadership at ground level you can be ignored; no one cares for the reason why you hate your place of birth.

Your just damaged goods beyond repair; afadhali mafisadi walio Tanzania wanaomchukia Magufuli; wana sababu zao za kwa sababu alikata mirija.

Kwa diaspora kuna watu walipoteza viwanja vyao kwa miaka mingi hadi wa kujenga. Alipoingia Magufuli kila aliepoteza kiwanja kiwanja alikapata hakuna kuulizana uraia mahakamani.

Kila nyumba ilyopigwa chini kipindi cha Magufuli kwa sababu kiwanja kilikuwa cha mtu; wengi walikuwa diaspora.

I can go on and on kuhusu huyo mtu. Ni chizi tu ndio hakumuelewa.
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Maza siasa hawezi ni mtu wa kupanic sn
 
Akili zako zina kutosha mwenyewe.

Ebu ingia kitaaa umuulizie mtu ambae mfumo wake wa maisha hautegemei mshahara wa serikali au system yoyote ya ufisadi inayomnufaisha akwambie.

Yaani wananchi hasira zao kwa Magufuli ni kufa kwake kishamba tu; si angepiga tu chanjo ya covid.

Sitaki kukulisha maneno; nenda kaulize kwa wananchi wakuambie.

Magufuli alikuwa jembe
Wananchi gani mkuu, au unadhani huku mitandaoni sio mtaani? Ama unadhani tuko nje ya nchi nini? Ilitakiwa anakubalika aheshimu uchaguzi, kisha tujue ukweli, sio anakubalika kwa propaganda zake, huku akikwepa kipimo halisi cha kukubalika kwake.
 
Kwahiyo atakuwa ni mwenyekiti wa chama hadi kifo kimkute hapo siyo??

Sasa hiyo demokrasia anayohubiri siku zote iko wapi??

Je,hautafakari hata kwa hilo dogo tuh??
Sisi wanachadema ndiyo tunaamua nani awe mwenyekiti wetu.
 
I can go on and on kuhusu huyo mtu. Ni chizi tu ndio hakumuelewa.
You couldn't recognize idiocy if it hit you in the face! You are beyond repair dude, kazikwe na huyo shetani wako Chato!

Bila hilo jiwe hatungekuwa na hili bunge la takataka. Mayor Quimby, product ya mikesha ya mwenge at his very best.
 
Back
Top Bottom