Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Kutokujua kingereza ndio kunakufanya uwe mkali kama pilipili kichaa! Pole.
Jifunze bado hujachelewa.
 
Mtoa mada embu jaribu kumsikiliza Mzungu aliyejifunza kiswahili then msikilize, ukikuta anazungumza kwa ufasaha ndio uje uhitimishe kuwa lugha ndio kipimo cha uelewa wa mtu. Lugha ambayo sio mother tongue huwa inasumbua wote.
Sio kweli, hapa anazungumziwa mtu aliyesoma kwa Kingereza kuanzia kidato cha kwanza hadi PhD lakini bado hiyo lugha ni shida kubwa kwake.
 
Ndalichako ni janga la Taifa. Uwezo wake mdogo sana ktk uongozi, ila mbaya zaidi, lugha ya kiingereza, very very poor pronunciation i ever heard. Hivi jamani, huyu kapataje PhD? Hata uwaziri sijui kapewaje aisee
 
Ni mzigo mzito hasa.
Tangu awe waziri wa elimu hakuna lolote la maana alilolifanya zaidi sana ni ubora wa elimu yetu umeshuka sana.
 
Mara mia Dr Msukuma kuliko huyu PhD yake ni ukakasi alipataje, ana pure broken Englis
Naomba kuuliza mwenzie , hivi content ya mtu kichwani inapimwa na lugha ya kiingereza.???

Kwangu mimi huyu ndiye waziri bora kutokea hapa Tanzania , na hii tangia akiwa katibu mkuu pale necta.
 
Hacha kujichanganya akuna mzungu alisoma kiswahili nakufanyia research...
Mtu akishindwa kingereza basi ni ushaidi tosha kwamba uwezo wake wa mambo ni mdogo sana unawezaje kufanya research, na phD then ushindwe kuzungumza hicho kilugha...shy
Hapa naweza nikawa nabishana na ngumbaru aisee ungekuwa umesoma linguistic ungenielewa vizuri kabisa au kama ulibahatika kufika chuo na ukasoma communication skills basi unatakuwa unajua kwamba unaweza ukawa muandishi mzuri kwenye lugha fulani lakini ukawa si mzungumzaji mahiri wa lugha hiyo, language skills inamambo mengi sana kijana nenda shule kwanza.
 
Hacha kujichanganya akuna mzungu alisoma kiswahili nakufanyia research...
Mtu akishindwa kingereza basi ni ushaidi tosha kwamba uwezo wake wa mambo ni mdogo sana unawezaje kufanya research, na phD then ushindwe kuzungumza hicho kilugha...shy
Hapa naweza nikawa nabishana na ngumbaru aisee ungekuwa umesoma linguistic ungenielewa vizuri kabisa au kama ulibahatika kufika chuo na ukasoma communication skills basi unatakuwa unajua kwamba unaweza ukawa muandishi mzuri kwenye lugha fulani lakini ukawa si mzungumzaji mahiri hasa kwenye wa lugha hiyo hasa kwenye swala inakuwa ni instant speaking,

language skills inamambo mengi sana kijana nenda shule kwanza
 
Especially with arabic accent. It sounds more English than English...
Hehehe! I find it really entertaining. Try watching football with Arabic commentary, halafu Brazil ndio wawe uwanjani....majina tu yanavyotamkwa ni burudani tosha.
 
Nimesikia tu kwamba, "You're going to stay inside until you give instructions to your people to............." She speaks English with strong vernacular accent.

I think the reason that English is her third language has a bearing on the way she can express herself in that language and this is a challenge facing majority of Tanzanians and hers is just a tip of an iceberg.
 
Basi ungeenda Straight mkuu

Apo nimekuelewa na tatizo la bmkubwa ni msingi haukuwa vizuri naona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…