Siyo kweli! Kwa sababu hakuna anayekulazimisha kuongea kiingereza lakini ukiamua kuongea kiingereza basi ongea kwa ufasaha kiasi, usiwe kituko kiasi unaabisha nchi!Ingawa napenda sanaaaa kiingereza ilaaa kwa tz MTU akiongea kiingereza ndo anaonekana mweredi yaan tuna mawazo ya kizamani sanaaaaa...ndo maana mwl wa kiswahili anafanyishwa mtihani wa usaili kwa kiingereza ..........akija Putin au biden useme aongee kiswahili wengi hatutaleta hizi porojooo kuwa hana weredii
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Kumbuka ana chupi huyu na Kuna wakati anaivua ili watu wapate burdani.Mara mia Dr Msukuma kuliko huyu PhD yake ni ukakasi alipataje, ana pure broken English
Nenda na wewe ukasome kwani PhD lazima ujue kuongeza kingerazaSeriously? It is questionable!!
Eboooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Phd watu wananunua machapisho wala msiogope kuona mtu ana phd siku hizi....kuna mama mmoja nilikuwa nafanya nae kazi huko katavi yeye aliniambia masters yake aliinunua million 11....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mother tongue imemuathiri hawezi kubadilika hata akakae USA bado hawezi kubadilika. Kama wasukuma wa mwanza wanaandika "Baba" ila wanasoma "Bhabha".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PhD yake na fluency kwenye English havina uhusiano kabisa, huenda ikawa English kwake ilikua option tu kwa ajili ya Masomo
Acheni chuki, tatizo mliaminishwa ukijua kuongea kingereza ndio kuwa smart kichwani
Sema Prof akitoka hapo lazima akameze panadol[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi interview gani maza ameshawahi kuongea kuhojiww mwanzo mwisho?Sijawahi kuiona,naonaga anasoma tu kwny karatasi.Jiwe ngeli kwake ilikua baba mkwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti hyo ndo alikuwa ana sign vyeti vyetu vya secondary maisha haya na mwandiko m–baya kama mwanafunzi wa chekechea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ofcoz Pipo yuz to dai ini ze ini ze ini zerek[emoji23]...
We lost alot of life thus why Bifoo i derivaring my spech we have to show appreciation to our hero...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku alipokuja ramaphosa ndio siku ya kwanza kujua huyu mama ni popoma
Hivi huyu baba yuko wapi? Nilijua atakuja kuwa mrithi wa JK pale magogoni.Prof. Mwandosya unamfahamu?Unajua alisomea kitu gani?Ulishawahi kukisikia kiingereza chake akiongea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harooo hebu muache plopesa Ndalichako!Hera ya tuisheni ya kiingereza hukumlipia.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Kuasiliwa na lugha mama sio tatizo, huyu lugha anayozungumza ni mbovu kwa ukubwa wa elimu ukiangalia kuwa anaweza kuwa mwalimu sehemu yeyote dunia hususani nchi zinazotumia lugha ya malkia kufundishiaHuyu mother tongue imemuathiri hawezi kubadilika hata akakae USA bado hawezi kubadilika. Kama wasukuma wa mwanza wanaandika "Baba" ila wanasoma "Bhabha".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu anamvuto gani wa kuombwa rushwa ya ngono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mbona hujapewa huo U-Profesa? Kasulu tunasimama na Mama. Kazi Iendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine saini yake ipo kwenye vyeti vyetu vya 4m 4