Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Urefu wa kamba ni kila mtu afanye kazi inayomhusu.......majukumu ya kazi YAMEBAINISHWA KIFASAHA....

Tuache upotoshaji koko.....

#Siempre JMT🙏
Na wewe acha kupotosha, mama amesema wale (kutafuna) na siyo wafanye kazi!
 
Mbona laisi tu,kuna mtu aliwahi yatamuka haya maneno:
1)wapeni polisi 5000/=,hiyo ni hela ya brush,
2)unataka upanuliwe mbere au nyuma!!?
3)kama huwezi lipa 200/= rudi na mavi yako nyumbani

Na bado akapata watetezi.

Laisi Ndio nini[emoji3][emoji1787][emoji23] kwahiyo unataka kusema kosa moja hualalisha kosa la pili
 
Watanzania bhana!Waache wakati wamehamasishwa na Rais kuwa wajipimie?View attachment 2080155Ingekuwa ni Taifa lingine hadi muda huu huyu Rais asingekuwa madarakani lakini kwa jinsi ulivyojibu hapo juu kuna uwezekano hadi wananchi wakaliwa na bado Rais akaendelea kudunda.
Wewe mkuu inawezekana upo nje ya nchi ndio maana unaongea kama unavyotaka na unavyofikiria lakini sisi tuliomo nchini tunapoongea huwa tunaweka na akiba ya maneno !! Muulize Lisu na Mange wanawajua watanzania jinsi walivyo !!
 
Mmh kuleni kwa urefu wa Kamba yenu?! Means wasile sana kumfikia yeye [emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
Watu wa visiwani kila anapozungumza wamezowea kuweka misemo ya kiswahili ambayo huwa mzungumzaji anataka umuelewe vizuri kile alichokuwa anakizungumzia, tatizo la baadhi ya watu huwa ama kwa kutokujua au kwa makusudi ni lazima watatoa tafsiri hasi kutokana na msemo ulioutumia ! Hao ndio wabongo!

Mbuzi kula mwisho wa kamba yake inapoishia inawezekana alikuwa ana maana ya kwamba naibu waziri na waziri kamili vipato vyao halali haviwezi kuwa sawasawa ! Kwahiyo kila mmoja aridhike na kile anachokipata cha halali pale kamba yake inapoishia!

Sasa hapo kuna tatizo gani? Tukosoe pale panapostahili kukosolewa na pale ambapo panahitaji ufafanuzi basi tudai ufafanuzi!
 
Kuleeeni ila msivimbiwe! Tena usimuingilie mwenzako kulaaa kwako! Wengine mnakula mnooo! Kuna mmoja kwenye meli analipwa dola milioni 2 si kuvembewa huku? Sawaaa mbuzi hula urefu wa kamba yake, wewe wa nishati usiingilie wa madini! Kula sehemu yako usiwe mlafiii [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Watu wa visiwani kila anapozungumza wamezowea kuweka misemo ya kiswahili ambayo huwa mzungumzaji anataka umuelewe vizuri kile alichokuwa anakizungumzia...
Kwahiyo mfano wa yule anayevuta melini dola milioni 2 ndio saizi yake siyoo?
 
Mhe, ukishajua katika familia yako una mtoto au watoto waroho, huwezi ukawaacha wajipimie chakula wanachokitaka bali mzazi au msimamizi mwingine huwapimia ili wasile kupitiliza na kisha kuvimbiwa na hata kusababisha wengine kukosa chakula.

Mbaya zaidi, unajua wanakula sana ila unaendelea tu kwaangalia sijui mpaka wabebe na masufuria!

Mtoto umleavyo, ndivyo akuavyo.

Kazi kwako.
kuna kitu Mwenyezi Mungu anatujulisha watanzania kupitia watu tunaowaamini, ni swala la muda tu.
 
Angekua mhimili mwingine angetumbuliwa!!! Make Ange nangwa mitandaoni hasa, halafu angeomba msamaha, Kisha Ange tumbuliwa.

Mbona viongozi wangu Kila kukicha wanatoa mpya? Au ndo homa ya 2025.
 
Kuleeeni ila msivimbiwe! Tena usimuingilie mwenzako kulaaa kwako! Wengine mnakula mnooo! Kuna mmoja kwenye meli analipwa dola milioni 2 si kuvembewa huku? Sawaaa mbuzi hula urefu wa kamba yake, wewe wa nishati usiingilie wa madini! Kula sehemu yako usiwe mlafiii [emoji38][emoji38][emoji38]
Hamna sehemu nyepesi kutawala hapa duniani kama Tanzania.
 
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?

Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya

View attachment 2079590

Natanguliza shukurani
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Siyo kwa viongozi tuu, Mtu yeyote yule anayeongea kabla ya kupanga nini cha kusema, wapi pa kusemea, na namna ya kusema ni mtu mropokaji. Bahati mbaya kwa Tanzania ni kwamba hao ndio viongozi.

Na pia sio lazima Rais aandikiwe nini cha kuongea, hapana! Muhimu ni yeye mwenyewe kujiandalia nini cha kuzungumza. Vladmir Putin anajiandikia hotuba zake yeye mwenyewe, na hajawahi kutoa boko.
Samia ana elimu ya kuunga unga, she can never and she will never be articulate
 
Back
Top Bottom