Unaonaje hiyo voice clip waweke kila baada ya kwisha kwa taarifa ya habari ya saa 2 usiku ya ITV na TBC kama wanavyofanya kwa hotuba zingine?Watu wa visiwani kila anapozungumza wamezowea kuweka misemo ya kiswahili ambayo huwa mzungumzaji anataka umuelewe vizuri kile alichokuwa anakizungumzia, tatizo la baadhi ya watu huwa ama kwa kutokujua au kwa makusudi ni lazima watatoa tafsiri hasi kutokana na msemo ulioutumia ! Hao ndio wabongo!
Mbuzi kula mwisho wa kamba yake inapoishia inawezekana alikuwa ana maana ya kwamba naibu waziri na waziri kamili vipato vyao halali haviwezi kuwa sawasawa ! Kwahiyo kila mmoja aridhike na kile anachokipata cha halali pale kamba yake inapoishia!
Sasa hapo kuna tatizo gani? Tukosoe pale panapostahili kukosolewa na pale ambapo panahitaji ufafanuzi basi tudai ufafanuzi!
Tatizo huyo mwenye vision ndio alimchagua huyo unayemuita hopeless. Tena chaguzi mbili mfululizo.Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Hata kama kiswahili ni shida hapa anahamasisha rushwa ufisadi. Impeachment a requirement to this strange presidentNimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya
View attachment 2079590
Natanguliza shukurani
Ufisadi ulafi vinaleta kuvimbiwa tusidanganyaneUrefu wa kamba ni kila mtu afanye kazi inayomhusu.......majukumu ya kazi YAMEBAINISHWA KIFASAHA....
Tuache upotoshaji koko.....
#Siempre JMT🙏
Hapana Ni kukusalimia rafiki yanguHahahaaaa........ Umeshafura!
Tatizo wabongo tumezoea unafki, mama kaongea kitu cha kweli, nani asiyekula katika nafasi aliyopo? Mtanzania yeyote hata kwa kazi ya ulinzi kuna namna ananufaika kwa nafasi ile tatizo mama kawakumbusha usije kunjinufaisha/ kunufaika kwa nafasi hiyo hadi unacompromise majukumu yako.Kwahiyo mnadhani nchi hailiwi au ni kujidanganya?
kweliKwahiyo mfano wa yule anayevuta melini dola milioni 2 ndio saizi yake siyoo?
DuhKwahiyo mfano wa yule anayevuta melini dola milioni 2 ndio saizi yake siyoo?
Duh!Kazi kwao Sasa,washindwe wenyewe tu kutafuna hii keki ya wadanganyika!! kila mh. alizike na mipigo atakayotengeneza kulingana na mahala pake ,wasioneane husdah!!
Wewe msenge nimekwambia leta list hapa achana na msenge wako! Huma hata ushahidi unapuyanga tu! Pumbavu zako! Hao umewataja wote ni marehemu? Hao madiwani wakiuliwa kwa matendo yao unamsingizia Magufuli? Hata huyo Azori Gwanda unaushahidi gani?Wewe ndiyo mpumbavu popoma. Pokea orodha hii
1.Ben Saanane
2. Azory Gwanda
3. Lwajabe
4. Diwani wa CDM Hananasif
5. Akwilina
6. Diwani wa Ifakara
7. Wananchi 300 wa MKIRU
8. Kutekwa kwa Roma Mkatoliki
9. Kutekwa kwa MoDewji
10. Kutekwa kwa Masoud Kipanya
11. Kushambuliwa kwa Zakaria Trans Tarime
12. Kushambuliwa kwa Tundu Lissu
Mungu ni wa ajabu, Tundu Lissu yuko hai lakini Magufuli amekuwa chakula cha minyoo huko Chato
Watu wa visiwani kila anapozungumza wamezowea kuweka misemo ya kiswahili ambayo huwa mzungumzaji anataka umuelewe vizuri kile alichokuwa anakizungumzia, tatizo la baadhi ya watu huwa ama kwa kutokujua au kwa makusudi ni lazima watatoa tafsiri hasi kutokana na msemo ulioutumia ! Hao ndio wabongo!
Mbuzi kula mwisho wa kamba yake inapoishia inawezekana alikuwa ana maana ya kwamba naibu waziri na waziri kamili vipato vyao halali haviwezi kuwa sawasawa ! Kwahiyo kila mmoja aridhike na kile anachokipata cha halali pale kamba yake inapoishia!
Sasa hapo kuna tatizo gani? Tukosoe pale panapostahili kukosolewa na pale ambapo panahitaji ufafanuzi basi tudai ufafanuzi!
Wewe ndiyo mpumbavu popoma. Pokea orodha hii
1.Ben Saanane
2. Azory Gwanda
3. Lwajabe
4. Diwani wa CDM Hananasif
5. Akwilina
6. Diwani wa Ifakara
7. Wananchi 300 wa MKIRU
8. Kutekwa kwa Roma Mkatoliki
9. Kutekwa kwa MoDewji
10. Kutekwa kwa Masoud Kipanya
11. Kushambuliwa kwa Zakaria Trans Tarime
12. Kushambuliwa kwa Tundu Lissu
Mungu ni wa ajabu, Tundu Lissu yuko hai lakini Magufuli amekuwa chakula cha minyoo huko Chato
Duh!Kuleni kwa kiasi msile kwa kupitiliza haya tupe na maana ya hiyo we unaejua kutoa taarifa sahihi sisi wengine wazito kuelewa
Wanachomaanisha watu ni kuwa hata Kama Kuna mawaziri wanakula/wanaiba, inapaswa raisi kuwawajibisha au kuwaondoa ili kuondoa huo wizi na sio kuwaruhusu au kuwaonea hurumaKwahiyo mnadhani nchi hailiwi au ni kujidanganya?
Nimesikia vizuri tuu,shida iko wapi hasa? Rais si anawaasa mawaziri Kuhusu wizi au?
Hawezi kumfikia marehemuAnawaasa waibe kidogo wasiiebe sana hadi wakavimbiwa
Huyu rais anaropoka sana
Hakuna unafki, yeye Kama Rais alipaswa kukemea hiyo hali na kuchukua hatua.Tatizo wabongo tumezoea unafki, mama kaongea kitu cha kweli, nani asiyekula katika nafasi aliyopo? Mtanzania yeyote hata kwa kazi ya ulinzi kuna namna ananufaika kwa nafasi ile tatizo mama kawakumbusha usije kunjinufaisha/ kunufaika kwa nafasi hiyo hadi unacompromise majukumu yako.
Tafsiri sahihi, Asante sanaAnawaasa waibe kidogo wasiiebe sana hadi wakavimbiwa
Huyu rais anaropoka sana
Nani alikuwa na vision, yule jambazi wa Chato? Jiwe na Hangaya wote takataka tu, hakuna kitu nashangaa kwanini huyu naye haendi zakeHuyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Bora huyo dada mara elfu kuliko lile jambazi liuwaji na linalotesa, Alhamdulilahi limetokomea au kutokomezwa kuzimuHuyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.