Halafu huyu mama anatafuta sana kuridhisha wateule wake aonekane wa maana, ni kana kwamba hajiamini kwenye hiyo nafasi.........huu utaratibu wa kujipimia uko kwenye sheria ipi maana tunachojua watumishi wote wanalipwa mishahara kutokana na vigezo mbalimbali........watumishi wamenyimwa nyongeza na kupanda madaraja zaidi ya miaka saba sasa, kumbe kuna wengine wenyewe wanajipimia, bullshit!