Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
Mlafi wa karne. Jamaa alituweza aisee.Aisee ivi unaijua 1.5 trillion???
Hiyo pesa mtuanaweza kuiiba pekeake alafu isijulikane ilipo, aliiweka kwenye account gani ama ipo kwenye mabegi nyimbani kwake?.
Angeiba hiyopesa kwajinsi mafisadi wanavyo mchukia saizi kila ushahidi ungewekwa wazi dunia nzima ione.
Acheni kulopoka lopoka.