Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Bunge lipi? Hili lililogeuka kama idara ya kumwagilia maua ikulu?Mkuu wa nchi anatamka bila hata kusita na kumug'unya maneno kuwa kila waziri au kiongozi awe anakula kadli ya urefu wa kamba yake. Bila aibu anasisitiza kuwa wasiibe au kula rushwa kama walio kula mchongo na rushwa ya ujenzi wa meli na kula rushwa ya dola mil kila meli.
Huku ni kukiuka katiba ya JMT ambayo inataka viongozi wawe waadilifu na wasikiuke sheria ya maadili ya viongozi wa umma ambayo inataka kiongozi asichukue rushwa au kuhimiza kuchhukua rushwa.
Ibara ya 46A ya katiba ya JMT ipo wazi na rais Samia aondoshwe madarakani na bunge la JMT.