Mlafi wa karne. Jamaa alituweza aisee.Aisee ivi unaijua 1.5 trillion???
Hiyo pesa mtuanaweza kuiiba pekeake alafu isijulikane ilipo, aliiweka kwenye account gani ama ipo kwenye mabegi nyimbani kwake?.
Angeiba hiyopesa kwajinsi mafisadi wanavyo mchukia saizi kila ushahidi ungewekwa wazi dunia nzima ione.
Acheni kulopoka lopoka.
Kwanza ukisikiliza hiyo Crip ina shida gani? Mbona Rais anawaasa mawaziri kuacha wizi? Tena anawaambia waache urafi na katoa mifano .
Lakini ni ukweli pia kwamba kila mtu anakula alipo ila ulaji usiwe wa uharibifu.
Kwani wanachomeana kwa ajili ya nini unadhani?Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....
Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......
Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......
#Siempre JMT🙏
Urefu wa kamba ni kila mtu afanye kazi inayomhusu.......majukumu ya kazi YAMEBAINISHWA KIFASAHA....
Tuache upotoshaji koko.....
#Siempre JMT🙏
Kiongoz wa ajabu sijapata kuona walahi!!!Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya
View attachment 2079590
Natanguliza shukurani
Ule mfano wa vitalu vya uwindaji uliuelewa?Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....
Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......
Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......
#Siempre JMT[emoji120]
Chawa utawasikia..."sukuma gang wanamkwamisha mama makusudi..." Haya kumbe na maneno wamwekea kichwani? Debe tubu hata ka upepo kidogo tu lazima lipige kelele!Watetezi wake mna kazi kubwa.
Tuna rais weak mno haijapata kutokea.
2025 atapita bila kupingwaKiongoz wa ajabu sijapata kuona walahi!!!
Kadri mnavyojaribu kumtetea ndivyo anazidi kujipaka "mashi" mwili mzima....huyu habebeki wallah nawaambia!Mbona laisi tu,kuna mtu aliwahi yatamuka haya maneno:
1)wapeni polisi 5000/=,hiyo ni hela ya brush,
2)unataka upanuliwe mbere au nyuma!!?
3)kama huwezi lipa 200/= rudi na mavi yako nyumbani
Na bado akapata watetezi.
Pumbavu mkubwa wewe Liwagu unaniita Mimi mropokaji?? Kwani hukusoma ripoti ya CAG Prof Assad ya 2016/17? Ni lini tulipewa jibu juu ya hoja ya ukaguzi hiyo?
Huyu siyo wa kumwendea kwa staha na upole. Huyu ni kuruka nae mpera mpera. Tusipofanya hivyo nchi itapigwa mnada mchana kweupeMark my word bro manengelo huyu Rais yawezekana akawa mzuri zaidi kuliko Marais wote waliowahi kuongoza JMT.
Kiongozi mzuri ni yule asiye mtawala, bali anayetenda kwa vitendo na kushirikisha wenzake kwa vitendo na uwazi.
Tumuunge mkono na kushauri penye kuna kosa kwa staa na weledi, sisi ni binadamu wala sio Malaika.
Unaelewa maana ya ufisadi?Nani kakwambia kuwa ufisadi ni kuiba?
Tuache utani, jiwe alifanya ufisadi wa laana. Nchi itamkumbuka kwa mengi sana.Akili yako fupisana, unashindwa hatakujiuliza kwamba kwa kiasi kikubwa cha pesa kama hiyo unadhani uchunguzi ungesubiri mbaka leo wakati muhusika amesha kufa?.
Wajomba zako mafisadi wangesha anika kilakitu mapema asubuhi.
Natayari tungesha jua cheni ya wote walio chota hizopesa.
1.5 Trillion sio pesa ya kipumbavu, najua unafahamu wingi wa pesa kama hiyo na isingepotea kijinga jinga sema unajifanya mwendawazimu tu.