Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao wazee wa Dar es salaam wasipoomba miili ya wajukuu wao hao watakuwa sio wazee wa dsm bali ni matapeli na wahuni wa dsm waliozeeka
 
De ja Vu.... hii alikuwa anaitumia sana Jakaya
Tatizo umeanza kufuatilia siasa kipindi cha jakaya,hilo lilianza awamu ya kwanza,labda awamu ya tano ndo sikumbuki kufanyika, lakini awamu zingine zote lilifanyika
 
Nitamuelewa Samia akitangaza kujiuzulu na kurudia Kwa uchaguzi
Sahau kuhusu hilo! Na badala yake tegemea:-
1. Shutuma kwa wapinzani kama ndiyo chanzo cha vurugu na pia yule kijana aliyepewa bilioni 5 na watu wa nje kwa ajili ya vita ya uchumi.
2. Yeye na genge lake kujitenga na mauaji ya tarehe 29 na kuendelea..
3. Porojo zile zile za maridhiano feki na ahadi hewa.

All in all, ni vizuri akatuachia nchi yetu ya Tanganyika! Na yeye arudi kwao Kizimkazi.
 
De ja Vu.... hii alikuwa anaitumia sana Jakaya
Tatizo umeanza kufuatilia siasa kipindi cha jakaya,hilo lilianza awamu ya kwanza,labda awamu ya tano ndo sikumbuki kufanyika, lakini awamu zingine zote lilifanyika
 
Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam ndiyo watu gani au anakusanya waganga, wachawi na wapiga ramli aone kama watamnyoishea mambo.
Gen Z ndiyo wanaopigania future yao, huyo haramu mkutano wake na chawa wake sisi hautuhusu.
D9 do or die.
Hakina MZEE MPILI!
 
Asilimia haihusiani na idadi,hata wangepiga kura watu mia na 98 wakamchagua,basi hiyo ni asilimia 98,someni, hesabu hizi ni za darasa la nne
 
Hao wazee wa Dar es salaam wasipoomba miili ya wajukuu wao hao watakuwa sio wazee wa dsm bali ni matapeli na wahuni wa dsm waliozeeka
Hakuna mzee wa dar aliyefiwa mjukuu,walitangulia mbele za haki ni watu wasiostaarabika toka mbeya, Kilimanjaro, Arusha,rukwa.. kufanya vurugu kwenye miji ya watu
 
Angeongea na vijana GenZ wa Dar kitovu cha MO29.
Hao wazee hawatobadili msimamo wa vijana.
Wazee mawazo yao ya kukubali kila kitu. Kukubali uonevu, unyanyaswaji na kuibiwa mali zao za umma.
Wazee hawakumbani na changamoto zinazo wakabili vijana walio mfano wa walio andamana.
Wazee hawawazi kuhusu mipango ya muda mrefu au kutunza rasilimali au maliasili za taifa sababu wanaona hawatakuwepo miaka 30 ijayo.
 
Ninyi endeleeni kutoa matamko na kujifanya kuhutubia watu sijui hao wazee. Ni muda tu, wewe Chalamila na timu yako na huyo Idi amini mama tutawatembelea tu. Mark my word
 
Tukae kwa kutulia. Huenda anakuja ku resign uraisi baada ya fukuto la D9 kupamba moto.
 
Sioni kama atakuja na jipya! Wanaomzunguka wanazidi kumhakikishia kuwa Amani imerejea.
Sana sana ataendelea kulia lia akiwasihi watu wasiandamane tena,kitu ambacho kitazidi kutia chumvi kwenye vidonda vya watu ambao ndugu zao waliouawa.
 
Mama ni form 4 failure. Uwezo wake wa kuelewa, kuchambua na kujibu hoja ni mdogo sana. Interview yake na Kikeke tu tuliona jinsi alivyopaniki. Akiwapa watu nacasi ya kuongea ataaibika
 
SAWA,

Tutamsikiliza kabisa!nita tune TV yangu live!

Kesho najiandaa kushuhudia utu uliopo kwenye ilani ya chama chetu!
 
Sizani kama vijana wanasikiliza tena wazee sababu tunajua na wahuni huzeeka
 
Tuongeze mara ngapi ili tueleweke? Tumekwisha vuka stage za kuhutubiwa, tunataka kusikilizana.Hutuba akawahutubie wanawe huko kzmkz.
 
Sizani kama vijana wanasikiliza tena wazee sababu tunajua na wahuni huzeeka
Umesema vyema. Tena kwa hali hii mizee mingi imeonekana ni mihuni tu na haina uadilifu wowote. Yaani Gen Z tuko vizuri mara 100 kuliko mizee hii iliyojaa ubinafsi na njaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…