Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi hakuna ubunifu mwingine zaidi ya kuongea na taifa thru wazee wa Dar?
 
Dalili ya kufeli. Kikwete kamdanganya, Vile vizee havielewi lolote. She is not our president.
 
Hakuna mzee wa dar aliyefiwa mjukuu,walitangulia mbele za haki ni watu wasiostaarabika toka mbeya, Kilimanjaro, Arusha,rukwa.. kufanya vurugu kwenye miji ya watu

Akina Shekhe majini siyo?
Kweli wale watu hawajastaarabika
 
Shida ni ile ile, Wanataka kuhutubia badala ya kuitisha majadiriano ili kupata muafaka

De ja Vu.... hii alikuwa anaitumia sana Jakaya

Lazima uwe chawa wa kijani, hata kama hutoki Dar utaletwa na malori kutoka Mkuranga

Wrong forum.....wrong audiance...staili ile ya kale ya JK ...outdated technique....
She has a long way to go.....
Who cares about wazee wa dar?....hawa watoto wa kizazi hiki?...
Kituko
Hiki chama kimeoza walah tena, bado wana fikra za karne ya 20 za chama kushika hatamu.

Bado wanaendelea na mambo ya kuzungumza na "Wazee wa Dar es Salaam" ili kulihutubia taifa? Hao wazee wamewachagua vipi katika mfumo wa siasa tulionao sasa?
 
Anapenda watu wenye uwezo finyu wa kufikiri kama wake.
 
Hana Jipyaa
Ni kama Mawaziri wake Haramu walozagaa Kila Kona ya Nchi.


Hakuna Maridhiano baada ya Oktoba 29 .
 
Rais atupe majibu ya maswali haya:
1. Nani wanateka na kuuwa watanzania?
2. Kuwa na mawazo mbadala ni kosa katika taifa letu?
3. Kwa kumuogopa Mungu wa mbinguni, tuambie, je,ule ulikuwa ni uchaguzi huru na wa haki?.
 
Hakuna jipya niporojo,kwanza hao wazee ni vibaraka wakijani baada ya hapo wanawapa bahasha za kaki.
 
wazee wa CCM hao choka mbaya ndoo wapokee posho za elfu kumi kumi kufanya igizo
 
Wanaodai haki ni vijana na especially genzee unaenda kuongea na wazee wanaotoka kamasi kwa alkasusu hii akili au matope? Ndio maana tunafeli kila kitu, kuna mzee alitoka O29 au anapanga kutoka D9?
 

Hiyo siyo Rais, kama unapenda sana kulitumia jilo neno la Rais, basi angalao ungesema, Rais batili au Rais haramu. Rais kwa mujibu wa katiba anapatikana kwa njia ya kura zilizopigwa na wananchi, siyo huyu aliyepatikana kwa njia za kihuni ziluzoandaliwa na wahuni wake.ìl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…