Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Madudu hayaishi we unadhani ni kitu kitu gani kilimfanya jpm afoke kila siku hadi afya yake ikatetereka!! Msimsingizie mama wtz ni wezi mno tena mno
Naunga mkono hoja sisi wa Tz wezi ila, unapokuwa kiongozi ukiona km ya leo haina haja ya kulalamika, ilitakiwa sheria ichikue mkondo wake. Sisi tungesoma tuu magazetini hawa wameisababishia hasara serikali yetu. Lakini kumjua mkopaji alafu unamtaja kakopa kakimbia So what!!! Kwa mimi niliye kuwa huku viwanja sitini ifakara na namuona aliyetoroka mjanja sana kuliko serikali ndugu.
 
Lakini kumjua mkopaji alafu unamtaja kakopa kakimbia So what!!! Kwa mimi niliye kuwa huku viwanja sitini ifakara na namuona aliyetoroka mjanja sana kuliko serikali ndugu.
Benk 5 ? Mchongo wa watu wa bank huyo hawezi kua conman ni ujanja tu wa watu bank kutaka pesa nyingi kwa haraka, na wanajua hata wakiiba hakuna wa kuwafanya chochote aliekua anawapigisha chafya kashaenda zake zaidi ya kusemwa maneno ya mipasho tu wataitwa stupid wataitwa pumbavu alafu imetoka hio kesho wanaona tena wanaiba tena watakuja kusemwa tena imetoka hio yaan series ndio ipo hivyo ni mwendo wa kuiba tu
 
Nimecheka kaa fala 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndio ukweli ulivyo japo ni mchungu na unachekesha pia mkuu,
Daaah aseee huyo mbwa kalamba asali ya kwake na vizazi vyake aseee 50B sii mchezo alafu hafanywi kitu sasa daaah mpaka raha 😂😂😂😂😁😁😁

Kweli jpm aliwabinya mapumbu hawa watu

Saivi kila mtu ana jamba kwenye sekta yake na watu wanalamba tu 🍯🍯🍯🍯 daaah huu ndo muda muafaka mkuuu wakupiga pesa

#Grace period# 😁😁😁
 
Hili nalo mkaliangalieni vizuri.

Haya mambo sio ya kufumbia macho Wala kutamka kimafumbo. Kama Benki zipo waliohusika ni watumishi, sahihi zipo, pesa zikiingizwa akaunti gani na ya jina la nani kwenye Benki gani mahali gani? Na zilihamishwaje Kuna haja gani kuogopa kuwapatia wahusika?

Au ndio Shamba la bibi linazidi kupakuliwa?

MaChawa mpo?!
Kuna msemo unasema Acholile Kachora wakwere nadhani, yaan hio sadakarawe watu washacheza aliepata kapata wanajua wakishaiba mama mwenye nyumba atakuja kubwabwaja wee wanamwangalia tu akimaliza yanaingia huku yanatokea huku watu wanacheck angle zingine za kuiba walioiba hawafanywi chochote na wanajua hakuna wa kuwafanya chochote na kuiba wameiba unategemea nini? Utakuja kuimba taarabu tu pumbavu stupid basi watu kesho wanaiba tena tena mbaya wanaiba mbele ya macho yako hivi unaowaona na mkono wa pongezi hongera kwa kuiba unawapa kumbe wameiba
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.

Daaaah mbavu zangu zinavunjika aseeee
 
Back
Top Bottom