Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

Hakutaja tarehe, inwezekana ikawa hata Jumtano ya tarehe 24/09/2025!
 
Kuna chombo cha habari kilichouliza kwa nini jumatano imepita na haijatoka au wana "heshima ya kiafrika" kwa mama ?🐒
 
Kuna chombo cha habari kilichouliza kwa nini jumatano imepita na haijatoka au wana "heshima ya kiafrika" kwa mama ?[emoji205]
Vinaweza kumuomba afikirie uwezekano wa kuanzisha mchakato wa kutazama faida zinazoweza kuwepo katika zoezi la kurasimisha uratibu wa utaratibu kutangaza kupokelewa ripoti.
 
Bado hatujamalizia kuchakachua ili kumuokoa kigogo fulani ambae alitia saini yake hela zikapigwa.Kuweni na subira tumalizie kuchakachua ripoti.
ama report imepokelewa kimyakimya
 
Na hamu naisubiria sijui ni lini itasomwa live.
 
Haina jipya imeishia kuzungumzia madai ya wakandarasi, maza kasha tengenezwa vizuri hana meno tena.
 
Wewe mkuu unaweza kuwa mtu hatari sana. Sana tu.

Yani inaonekana ushapoteza imani na mfumo mzima.

Kuna sehemu yoyote ambayo bado una imani nayo?
Mama pale ikulu kaja wapemba Tu, ukigeuka huku Mpemba, Huku Mpemba Yani Ni Tafulani PSU Nzima kwa Sasa
 
Mama pale ikulu kaja wapemba Tu, ukigeuka huku Mpemba, Huku Mpemba Yani Ni Tafulani PSU Nzima kwa Sasa
Acha kuwaita Wapemba.

Wale Watanzania mkuu.

Tatizo labda wakiwa Wasomali.
 
Wazanzibar kibao wamejaa PSU Wote, Juzi akiwa Msumbiji alifanya boko Hatari [emoji3][emoji3]
Msumbiji mkutano wa kwanza ali delegate Rais Mwinyi wa Zanzibar aende.

Kuwakilisha Tanzania.

Wakati Mwinyi Rais wa Zanzibar halafu Mambo ya Nje si suala la Muungano.

Huyu rais anachemka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…